Kiongozi wa Upinzani Nchini Urusi, Alexei Navalny akimbizwa Hospitali baada ya kuwekewa sumu kwenye chai

Kiongozi wa Upinzani Nchini Urusi, Alexei Navalny akimbizwa Hospitali baada ya kuwekewa sumu kwenye chai

Hatari sana. Na hii yote ni kwa sababu ya kumpinga Putin kujiongezea miaka kibao ya kutawala.
Ninachojua mimi,utawala wa mtu mmoja muda mrefu haujawahi kuisha vizuri,kuna siku watu watakuchoka tu regardless umefanya mangapi..Just taste yako ikiisha lazima kinuke,ni suala la muda tu.
 
Putin ameishafanya yake,
Bora Putin anawatuliza wapinzani wake ambao wanaungwa mkono na Nchi za magharibi,ambao wanaweza kutumika kuihujumu Urusi kama ilivyotokea Kwa Boris Yeltsin,sasa hapa bongo,Mkazi wa magogoni,anauwa wapinzani ili abaki madarakani,sio kwa ajiri ya kuikuza nchi kama anavyofanya Putin,huyu anaua ili ale na kikundi chake,kabila lake,basi,

Mbona Putin alikwishasema wazi kwamba hatowavulimia wasaliti wa Russia?

Aliposema hivyo hakumung'unya maneno na akasema Russia itawatafuta wasaliti popote pale walipo.
 
Hata chadema mshukuru mpo kwenye nchi ya Aman Zaid dunian mngekua nchi za viongozi ambao hawacheki cheki Tundulisu zitto na kale ka bibi mngekua marehem sasaiv

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu bado anaonywa tu, FSB kabisa wakufate mara mbili zote unachomoka! Kuna vikosi dunia hii vikikuhitaji hata uwe na roho saba ni mapema sana kwako wanaanza kutafuta maturubai
Wataka kuniambia hakuna missions ambazo hizo units zjnafail?
 
Ninachojua mimi,utawala wa mtu mmoja muda mrefu haujawahi kuisha vizuri,kuna siku watu watakuchoka tu regardless umefanya mangapi..Just taste yako ikiisha lazima kinuke,ni suala la muda tu.
Ni kweli na mifano ipo mingi tu.
 
Ngoja tuone hao wanaojiita jumuia za kimataifa watafanya nini kwa mwamba Putin.
maana kuna watu ukiwafinya kidoogo wanajivunia jumuiya za kimataifa.
Putin na jiwe hakuna tofauti sema viwango vinazidiana.
 
Hio haiachi mtu salama, na mara nyingi hugundulika wakati wa postmortem wakati uhusika keshakaribishwa na malaika huko in other side of life
Daah nakumbuka Yaser Arafat alipigwa na hii,akafa taratiiibu...
 
Anaitwa Boris nemtsov alikuwa mpinzani mkubwa sana wa bwana Putin.alifanyiwa mauwaji katika daraja la kremlin(karibu kabisa na Ikulu ya Urusi).
Masaa ma 4 kabla ya kifo chake alifanya interview na kituo cha habari,aliongea mambo mazito sana kuhusu Putin.

Sasa USA na NATO kama ni kweli wao ni wanaume watangaze NO FLY ZONE kwa mrussi kama walivyofanya kwa Iraq na Libya then warushe hata bomu 1 tu la mkono ndani ya ardhi ya Russia waone dunia inavyorudishwa kwenye enzi za ujima.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom