Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Hata wewe utakufa. Unafikiri Putin hafahamu kuwa atakufa ? Achana na wanasiasa wa duniani hii ni wauaji kupindukia wengine wanaua maelfu ya watu pale mashariki ya kati na wengine wanaua wapinzani wao.Putin ni muuaji na katili mno....
Mwishowe hata yeye atakufa.
Wanasiasa ni majoka yaliyo vaa suti nyeusi