TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

Putin ni muuaji na katili mno....

Mwishowe hata yeye atakufa.
Hata wewe utakufa. Unafikiri Putin hafahamu kuwa atakufa ? Achana na wanasiasa wa duniani hii ni wauaji kupindukia wengine wanaua maelfu ya watu pale mashariki ya kati na wengine wanaua wapinzani wao.

Wanasiasa ni majoka yaliyo vaa suti nyeusi
 
Siku moja kabla ya kifo chake akimtania Judge kuwa amtumie hela kidogo kwa kuwa amefulia. Hawa watu wa Urusi huwa hawaaamini kama Mungu yupo wanakuwa hawaogopi kifo.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • m2-res_480p.mp4
    2.5 MB
Sishabikiii mauji, kuuana au kudhurumu haki ya kuishi.

Ila kwa taifa kubwa kama urusi linalowindwa 24/7 nusu ya wapinazi wanakua halisi nusu yao wanakua mamluki Ili kuyumbisha au kupindua selikali.

Maadui wa nje wanapenda kutumia watu wa ndani kuligawa taifa husika....,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…