Kiongozi wa upinzani wa Israel Yair Lapid amshambulia Netanyahu

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
The greatest disaster in our history occurred during Netanyahu's term. No agreement with Hezbollah can erase this neglect.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Cha kushangaza kuna Wayahudi weusi wa Nyambiti wanakuambia Israel hawajapata hasara yeyote😂
 
Hi vita Hezbullah ka gain vitu viwili kamtia adabu Israel maisha yake hata sahau na cha pili kairudisha resolution 1701 kwenye table hio resolution lazima Israel ateme ardhi ya Sheba na Kyrat shoba na hapo Israel hawezi kukubali hivyo silaha ya Hezbullah itabaki kama kawaida kulinda Lebanon na hata wale mapuppets wa Lebanon niliwasikia kina Amin Jamil wakisema Israel kawangusha sana kwenye hi deal.

Anasema sio sheria the Presdent of Parliament ndio afanye peace 😄 Anashangaa vipi US kapoteza akili wao na huyo Envoy wao ku deal na Nabii Al Barry wanaona Hezbullah ndio ka deal na US sio direct ni undirected. Wanasema Hezbullah ndio kila kitu hapa kwa hio hi peace ni faida ya Hezbullah.

View: https://youtu.be/k3zRsXxLDg4?si=kyyb6uXVUca0866e
 
WAPIGAJI WA HEZBOLLAH WAWAACHA MAELEZO YALIYOANDIKA KWA MWENYE NYUMBA AMBAO WALITUMIA NYUMBA ZAO.

Vidokezo Walivyoacha:

1: "Kwa familia ya nyumba hii, tunakuomba msamaha, tulitumia nyumba yako kula na kulala. Watu wa Mungu."

2: “Watu wetu wapendwa, tafadhali tusameheni kwa kuingia nyumbani kwenu na kuchukua sigara 4 zilizokuwa humo, pamoja na baadhi ya sabuni ya kufulia.

Pia utusamehe kwa kukaa ndani ya nyumba yako kwa muda, lakini bila kugusa au kuharibu chochote.

Tunakuombea urudi salama nyumbani kwako, mara ushindi utakapopatikana. Mujahedeen waliosaini upinzani wa Kiislamu - Hezbollah."

3: “Utusamehe tulichukua baadhi ya vitu kutoka nyumbani kwako na tukalala humo. Imesaini Hezbollah."

4: “Amani iwe juu yenu na ushindi kutoka kwa Mwenyezi Mungu na baraka zake. Tafadhali tusamehe kwa kutumia nyumba yako, maji na vyombo vyako vya jikoni na mahitaji yako.

Ili kufuta deni letu tumeweka kiasi kidogo ili kuomba msamaha wako, kwa matumaini utarudi nyumbani kwako na vichwa vyenu juu. Imeandikwa: Watu wa Mungu.
 
Wapalestina wanalalamika hzbolha wamewatelekeza kwan walijua sharti moja wapo LA kusitisha mapgana na Israel in kwanza Israel iache kuishambulia Gaza sasa hzbolha wamekubali kuacha kushambulia Israel wakat wao bado wanateseka
 
Wanaukumbi.

Kiongozi wa upinzani wa Israel Yair Lapid amshambulia Netanyahu:

"Maafa makubwa zaidi katika historia yetu yalitokea wakati wa utawala wa Netanyahu. Hakuna makubaliano na Hezbollah yanayoweza kufuta uzembe huu.

Mkataba lazima uhitimishwe haraka kuwarudisha wafungwa na kuwarudisha raia walioachwa."

View: https://x.com/sprinterfamily/status/1861536446382841894?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

hizbula wameinua mikono kuisaidia gaza kupigana na Yahudi! Sasa wameisaliti Gaza! Kule Gaza wanalia, hizibula imetusaliti!; kutoka kipondo kinachoendelea! Cha Yahudi
hizibula waliingia vita na Yahudi kuisaidia gaza!
 
WAPIGAJI WA HEZBOLLAH WAWAACHA MAELEZO YALIYOANDIKA KWA MWENYE NYUMBA AMBAO WALITUMIA NYUMBA ZAO.

Vidokezo Walivyoacha:

1: "Kwa familia ya nyumba hii, tunakuomba msamaha, tulitumia nyumba yako kula na kulala. Watu wa Mungu."

2: “Watu wetu wapendwa, tafadhali tusameheni kwa kuingia nyumbani kwenu na kuchukua sigara 4 zilizokuwa humo, pamoja na baadhi ya sabuni ya kufulia.

Pia utusamehe kwa kukaa ndani ya nyumba yako kwa muda, lakini bila kugusa au kuharibu chochote.

Tunakuombea urudi salama nyumbani kwako, mara ushindi utakapopatikana. Mujahedeen waliosaini upinzani wa Kiislamu - Hezbollah."

3: “Utusamehe tulichukua baadhi ya vitu kutoka nyumbani kwako na tukalala humo. Imesaini Hezbollah."

4: “Amani iwe juu yenu na ushindi kutoka kwa Mwenyezi Mungu na baraka zake. Tafadhali tusamehe kwa kutumia nyumba yako, maji na vyombo vyako vya jikoni na mahitaji yako.

Ili kufuta deni letu tumeweka kiasi kidogo ili kuomba msamaha wako, kwa matumaini utarudi nyumbani kwako na vichwa vyenu juu. Imeandikwa: Watu wa Mungu.
Kumbe IDF walikua sahihi kubomoa makazi ya watu maana yaligeuzwa kuwa maficho ya magaidi
 
Wapalestina wanalalamika hzbolha wamewatelekeza kwan walijua sharti moja wapo LA kusitisha mapgana na Israel in kwanza Israel iache kui
hzbolha ndiyo kina nani?
Siwajui watu hao wala watokako nazisoma habariza hapa jamii forum nakwingnepo hao Hezbollah nahs ni wahuni flan wanaomiliki silaha za moto
 
Hi vita Hezbullah ka gain vitu viwili kamtia adabu Israel maisha yake hata sahau na cha pili kairudisha resolution 1701 kwenye table hio resolution lazima Israel ateme ardhi ya Sheba na Kyrat shoba na hapo Israel hawezi kukubali hivyo silaha ya Hezbullah itabaki kama kawaida kulinda Lebanon na hata wale mapuppets wa Lebanon niliwasikia kina Amin Jamil wakisema Israel kawangusha sana kwenye hi deal.

Anasema sio sheria the Presdent of Parliament ndio afanye peace 😄 Anashangaa vipi US kapoteza akili wao na huyo Envoy wao ku deal na Nabii Al Barry wanaona Hezbullah ndio ka deal na US sio direct ni undirected. Wanasema Hezbullah ndio kila kitu hapa kwa hio hi peace ni faida ya Hezbullah.

View: https://youtu.be/k3zRsXxLDg4?si=kyyb6uXVUca0866e

Kamtia adabu wakati viongozi wate na makamanda wapo kwa mabikira
 
Wapalestina wanalalamika hzbolha wamewatelekeza kwan walijua sharti moja wapo LA kusitisha mapgana na Israel in kwanza Israel iache kui
hzbolha ndiyo kina nani?
Siwajui watu hao wala watokako nazisoma habariza hapa jamii forum nakwingnepo hao Hezbollah nahs ni wahuni flan wanaomiliki silaha za mot
 
WAPIGAJI WA HEZBOLLAH WAWAACHA MAELEZO YALIYOANDIKA KWA MWENYE NYUMBA AMBAO WALITUMIA NYUMBA ZAO.

Vidokezo Walivyoacha:

1: "Kwa familia ya nyumba hii, tunakuomba msamaha, tulitumia nyumba yako kula na kulala. Watu wa Mungu."

2: “Watu wetu wapendwa, tafadhali tusameheni kwa kuingia nyumbani kwenu na kuchukua sigara 4 zilizokuwa humo, pamoja na baadhi ya sabuni ya kufulia.

Pia utusamehe kwa kukaa ndani ya nyumba yako kwa muda, lakini bila kugusa au kuharibu chochote.

Tunakuombea urudi salama nyumbani kwako, mara ushindi utakapopatikana. Mujahedeen waliosaini upinzani wa Kiislamu - Hezbollah."

3: “Utusamehe tulichukua baadhi ya vitu kutoka nyumbani kwako na tukalala humo. Imesaini Hezbollah."

4: “Amani iwe juu yenu na ushindi kutoka kwa Mwenyezi Mungu na baraka zake. Tafadhali tusamehe kwa kutumia nyumba yako, maji na vyombo vyako vya jikoni na mahitaji yako.

Ili kufuta deni letu tumeweka kiasi kidogo ili kuomba msamaha wako, kwa matumaini utarudi nyumbani kwako na vichwa vyenu juu. Imeandikwa: Watu wa Mungu.
Kumbe walikuwa wanajichamganya kwa nyumba za kiraia!
 
Back
Top Bottom