Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
juzi kati hapo naangalia Al Jazeera waisraeli wanavyolalamika kuishi mafichoni chini ya mahandaki zaidi ya miezi sita sasa wamechoka wanataka bora yeshe warudi majumbani mwao...ila sasa ukiwakuta wayahudi wa kizazi cha 50 cha mzee magoma hapa bongo wakiisifia israeli unaweza sema israeli ni alliens kumbe takataka fukani hivi ambazo haziwezi shindana hata na vikundi vya mgamboThe greatest disaster in our history occurred during Netanyahu's term. No agreement with Hezbollah can erase this neglect.
Cha kushangaza kuna Wayahudi weusi wa Nyambiti wanakuambia Israel hawajapata hasara yeyote😂
We bwege sana kwenye nyumba wamekuta hata bunduki au bastola. Nenda kauze gongo wewe toka lini aliye zaliwa nje ya ndoa akawa mkweli.Hata Gaza wanatumia mbinu hiyo hiyo halafu wanalamika Israel anapowakaanga bila huruma
Asa mbona mnalamika akivunja majumba ??Nyie mapunguani kweli sasa mlikuwa mnataka wapigane na mabasha zenu kutokea wapi?
Watanyooshwa Hadi waache kufundisha watoto siasa Kali za kishambawanataka
Tazama Israel alicho kubali kwenye ceasefire acheni gongo.Israel ameangamiza uongozi mzima wa magaidi Hezbollah na Hamas, makamanda wa Iran waliokua Syria na Lebanon , wameharibu miundo mbinu ya kigaidi ghaza na Lebanon,ln short Israel iko salama zaidi kuliko kabla ya oct 7
We hivi akili yako Israel anapigana vita au anavunja majumba ya watu wasio kuwa hawana hata bunduki kwenye majumba yao. Hazioni silaha za Hezbullah na Hamas au anafikiria watoto nndio Missiles 😄 🤣Asa mbona mnalamika akivunja majumba ??
Wanaukumbi.
Kiongozi wa upinzani wa Israel Yair Lapid amshambulia Netanyahu:
"Maafa makubwa zaidi katika historia yetu yalitokea wakati wa utawala wa Netanyahu. Hakuna makubaliano na Hezbollah yanayoweza kufuta uzembe huu.
Mkataba lazima uhitimishwe haraka kuwarudisha wafungwa na kuwarudisha raia walioachwa."
View: https://x.com/sprinterfamily/status/1861536446382841894?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw