Cha kushangaza kuna Wayahudi weusi wa Nyambiti wanakuambia Israel hawajapata hasara yeyote😂>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
hizbula wameinua mikono kuisaidia gaza kupigana na Yahudi! Sasa wameisaliti Gaza! Kule Gaza wanalia, hizibula imetusaliti!; kutoka kipondo kinachoendelea! Cha YahudiWanaukumbi.
Kiongozi wa upinzani wa Israel Yair Lapid amshambulia Netanyahu:
"Maafa makubwa zaidi katika historia yetu yalitokea wakati wa utawala wa Netanyahu. Hakuna makubaliano na Hezbollah yanayoweza kufuta uzembe huu.
Mkataba lazima uhitimishwe haraka kuwarudisha wafungwa na kuwarudisha raia walioachwa."
View: https://x.com/sprinterfamily/status/1861536446382841894?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Yahudi jeusi lingine linajifariji🤣hizbula wameinua mikono kuisaidia gaza kupigana na Yahudi! Sasa wameisaliti Gaza! Kule Gaza wanalia, hizibula imetusaliti!; kutoka kipondo kinachoendelea! Cha Yahudi
hizibula waliingia vita na Yahudi kuisaidia gaza!
hzbolha ndiyo kina nani?Wapalestina wanalalamika hzbolha wamewatelekeza kwan walijua sharti moja wapo LA kusitisha mapgana na Israel in kwanza Israel iache kuishambulia Gaza sasa hzbolha wamekubali kuacha kushambulia Israel wakat wao bado wanateseka
Kumbe IDF walikua sahihi kubomoa makazi ya watu maana yaligeuzwa kuwa maficho ya magaidiWAPIGAJI WA HEZBOLLAH WAWAACHA MAELEZO YALIYOANDIKA KWA MWENYE NYUMBA AMBAO WALITUMIA NYUMBA ZAO.
Vidokezo Walivyoacha:
1: "Kwa familia ya nyumba hii, tunakuomba msamaha, tulitumia nyumba yako kula na kulala. Watu wa Mungu."
2: “Watu wetu wapendwa, tafadhali tusameheni kwa kuingia nyumbani kwenu na kuchukua sigara 4 zilizokuwa humo, pamoja na baadhi ya sabuni ya kufulia.
Pia utusamehe kwa kukaa ndani ya nyumba yako kwa muda, lakini bila kugusa au kuharibu chochote.
Tunakuombea urudi salama nyumbani kwako, mara ushindi utakapopatikana. Mujahedeen waliosaini upinzani wa Kiislamu - Hezbollah."
3: “Utusamehe tulichukua baadhi ya vitu kutoka nyumbani kwako na tukalala humo. Imesaini Hezbollah."
4: “Amani iwe juu yenu na ushindi kutoka kwa Mwenyezi Mungu na baraka zake. Tafadhali tusamehe kwa kutumia nyumba yako, maji na vyombo vyako vya jikoni na mahitaji yako.
Ili kufuta deni letu tumeweka kiasi kidogo ili kuomba msamaha wako, kwa matumaini utarudi nyumbani kwako na vichwa vyenu juu. Imeandikwa: Watu wa Mungu.
Siwajui watu hao wala watokako nazisoma habariza hapa jamii forum nakwingnepo hao Hezbollah nahs ni wahuni flan wanaomiliki silaha za motohzbolha ndiyo kina nani?
Kamtia adabu wakati viongozi wate na makamanda wapo kwa mabikiraHi vita Hezbullah ka gain vitu viwili kamtia adabu Israel maisha yake hata sahau na cha pili kairudisha resolution 1701 kwenye table hio resolution lazima Israel ateme ardhi ya Sheba na Kyrat shoba na hapo Israel hawezi kukubali hivyo silaha ya Hezbullah itabaki kama kawaida kulinda Lebanon na hata wale mapuppets wa Lebanon niliwasikia kina Amin Jamil wakisema Israel kawangusha sana kwenye hi deal.
Anasema sio sheria the Presdent of Parliament ndio afanye peace 😄 Anashangaa vipi US kapoteza akili wao na huyo Envoy wao ku deal na Nabii Al Barry wanaona Hezbullah ndio ka deal na US sio direct ni undirected. Wanasema Hezbullah ndio kila kitu hapa kwa hio hi peace ni faida ya Hezbullah.
View: https://youtu.be/k3zRsXxLDg4?si=kyyb6uXVUca0866e
Sijui kama anaelewa alichokiandika.Kumbe IDF walikua sahihi kubomoa makazi ya watu maana yaligeuzwa kuwa maficho ya magaidi
Sahihii alikuwa huyu Jaji Muyahudi achaneni na nyie Wayahudi weusi wa Uyole.Kumbe IDF walikua sahihi kubomoa makazi ya watu maana yaligeuzwa kuwa maficho ya magaidi
Kamtia adabu wakati viongozi wate na makamanda wapo kwa mabikira
Siwajui watu hao wala watokako nazisoma habariza hapa jamii forum nakwingnepo hao Hezbollah nahs ni wahuni flan wanaomiliki silaha za mothzbolha ndiyo kina nani?
Wapalestina wanalalamika hzbolha wamewatelekeza kwan walijua sharti moja wapo LA kusitisha mapgana na Israel in kwanza Israel iache kui
Siwajui watu hao wala watokako nazisoma habariza hapa jamii forum nakwingnepo hao Hezbollah nahs ni wahuni flan wanaomiliki silaha za moto
Kumbe walikuwa wanajichamganya kwa nyumba za kiraia!WAPIGAJI WA HEZBOLLAH WAWAACHA MAELEZO YALIYOANDIKA KWA MWENYE NYUMBA AMBAO WALITUMIA NYUMBA ZAO.
Vidokezo Walivyoacha:
1: "Kwa familia ya nyumba hii, tunakuomba msamaha, tulitumia nyumba yako kula na kulala. Watu wa Mungu."
2: “Watu wetu wapendwa, tafadhali tusameheni kwa kuingia nyumbani kwenu na kuchukua sigara 4 zilizokuwa humo, pamoja na baadhi ya sabuni ya kufulia.
Pia utusamehe kwa kukaa ndani ya nyumba yako kwa muda, lakini bila kugusa au kuharibu chochote.
Tunakuombea urudi salama nyumbani kwako, mara ushindi utakapopatikana. Mujahedeen waliosaini upinzani wa Kiislamu - Hezbollah."
3: “Utusamehe tulichukua baadhi ya vitu kutoka nyumbani kwako na tukalala humo. Imesaini Hezbollah."
4: “Amani iwe juu yenu na ushindi kutoka kwa Mwenyezi Mungu na baraka zake. Tafadhali tusamehe kwa kutumia nyumba yako, maji na vyombo vyako vya jikoni na mahitaji yako.
Ili kufuta deni letu tumeweka kiasi kidogo ili kuomba msamaha wako, kwa matumaini utarudi nyumbani kwako na vichwa vyenu juu. Imeandikwa: Watu wa Mungu.
Hata Gaza wanatumia mbinu hiyo hiyo halafu wanalamika Israel anapowakaanga bila hurumaKumbe walikuwa wanajichamganya kwa nyumba za kiraia!