Kiongozi wa waasi nchini Syria asema aomba amani na Israel, nchi za Ulaya na Marekani

Kiongozi wa waasi nchini Syria asema aomba amani na Israel, nchi za Ulaya na Marekani

Sasa itakuaje sisi wahafidhina uchwara?
Fungu letu na bwana wetu Ayatola tutapataje?
Aaagh huyu pandikizi la Mossad Jewish lenye ndevu zenye laana hiyo ni jihad ya namna gani?

Maghayo kwani veep mbona mapema sana wamechoka kukilipua wakachukue bikra 77?
😁😁
Yamebaki tu misijdah yao mikubwa kama full moon pajini
 
Amesema kuwa amechoka kupigana kwasababu zisizo na mbele wala nyuma, ameomba kuungwa mkono na Israel, Ulaya na Marekani.

Huu ni ushindi mkubwa na ukombozi kwa makobazi.

Chanzo: Adhuhuri Live (UTV).
Kiongozi wa waasi au wa serikali mpya?
 
Watu mna chuki mbaya Kwa wenzenu, jambo dogo maneno tele ktk vinywa, mhh.
Alafu utawaona wakianzisha Nyuzi kuwa Dini zao ni dini za Upendo bila Chuki.

Lakini Namna wanavyowachukia waislamu na uislamu kwa ujumla ni Chuki Kuu vifuani mwao.

#UNAFIKI.
 
Ila tu kumbukeni tu kwamba
Al Qaeda ilianzishwa na US
HAMAS ilianzishwa na akina Netanyahu
 
Watu mna chuki mbaya Kwa wenzenu, jambo dogo maneno tele ktk vinywa, mhh.
Wanafundishwa na wanarithi hata mkiristo umsaidie vp lakini lazima awe na chuki huwa wanamezeshwa vizuri sana sasa huyu mada haihusiani na hilo alilosema lakini watatoka moja kwa moja kupresent yaliyo moyoni mwao hasa hawa walioko kwenye institution wanavowaza kama they deserve only kuwa kuanzia mfungua geti mpk raisi wawe wao hawana tolerability kama kuna watu wameumwa ndani ya nchi hii sijui kwa kweli hz chuki they came from huwa wao wakizungumzia mambo yao ya kanisa au kikristo hakuna muislam anaeingia kati kuonesha chuki kama wao bt ni ukosefu wa elimu wengi wao ni kukariri na kuwekwa katika nafasi
 
Watu mna chuki mbaya Kwa wenzenu, jambo dogo maneno tele ktk vinywa, mhh.
Siyo chuki kwa sababu ya Dini yao ila tunachukia ujinga wao kwa kupelekwa pelekwa na nadharia uchwara sasa jitu linaenda sokoni kujilipua na linaua waumini wenzake wa Dini hiyo hiyo unaona imekaa sawa?
 
Watu mna chuki mbaya Kwa wenzenu, jambo dogo maneno tele ktk vinywa, mhh.
Wakristo wanawachukia sana waislam,sijui tatizo nini hizi dini mbili,na humu mada nyingi ni za wakristo kuwashambulia waislam,

Dini gani inafundisha chuki na majungu ilhali wote Mungu wao mmoja
 
Back
Top Bottom