boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
Ni kweli sikupingi wanaweza kukengeuka kama HamasNyie mnaowashabikia hawa waasi kwa kudhani watakuwa wema kwa Israel na West nawashangaa sana, mnajisahaulisha hawa walikuwa sehemu ya Al Qaeda.
Wakati wowote kitawaka, watawageuka hamtoamini!
Sa 42 ni Mzee Kweli?Miaka 42 huyu bado ni kijana? Hebu acheni masihara waTanzania.
Hata Hezbollah, Hamas wako backed na Russia kupitia Iran ila bado Israel amewagaragaza vibaya mno mpaka wameshindwa kumlinda kibaraka mwenzao Assad.Wakiwa backed na Russia kama alivyokua Assad miaka ya 2011-16 wataweza?
Kubet sio mbaya ila una bet unamiliki nini? Unabet kwa kutumia pesa ya chakula.Kubet hata ulaya watu wazima hubeti,baba yake iker casillas ni mbetiji mzuri,huko UK ndiyo usiseme,ngono ni mahitaji ya kibinadam
Wameshindwa kivipi? Kwani umesikia Iran au Russia ilipigana na waasi? Hao Hezbollah tu wangekuwepo hao waasi wasingevuka hata Hama! Na ndio maana walivyosikia tu ceasefire wakaona ndio fursa ya kushambulia.Hata Hezbollah, Hamas wako backed na Russia kupitia Iran ila bado Israel amewagaragaza vibaya mno mpaka wameshindwa kumlinda kibaraka mwenzao Assad.
Ceasefire ni upande wa Lebanon sio Syria. We unadhani bila ya Israel kutoa kipigo cha mbwa mwizi dhidi ya Iran na vikaragosi vyake hao waasi wangethubutu kutia mguu Damascus?!Wameshindwa kivipi? Kwani umesikia Iran au Russia ilipigana na waasi? Hao Hezbollah tu wangekuwepo hao waasi wasingevuka hata Hama! Na ndio maana walivyosikia tu ceasefire wakaona ndio fursa ya kushambulia.
Ndio nachosema, Hezbollah waliondoa askari wake Syria ili wakapigane Southern lebanon sasa ceasefire means wanarudisha majeshi yao Syria kitu ambacho kingekua threat kwa waasi!!Ceasefire ni upande wa Lebanon sio Syria
Kwani Israel kabla ya October 7 mbona imelipuwa mpaka ubalozi wa Iran, ililipua maghala ya silaha za Iran kwa miaka 10 sasa mbona waasi bado walikua wanapigwa? We sema tu Ceasefire, na Russia pamoja na Iran kutoingilia mpambano ndio umefanya vita kuwa nyepesi otherwise Iran na Russia zingeingiza ndege hao waasi wasingetoboa. Mind you Marekani pia imeingiza ndege zake kushambulia targets za Assad na ISIS ili kudhoofisha resistance yoyote.We unadhani bila ya Israel kutoa kipigo cha mbwa mwizi dhidi ya Iran na vikaragosi vyake hao waasi wangethubutu kutia mguu Damascus?!
Waliosoma wakiwa wamekalia madawati ndio wanaweza kukuelewa lakini sio wale waliosoma wakiwa wamekalia mikeka.Mbona hili lilijulikana. Ishu hapo ilikuwa ni Iran na hezbollah, hiv bado hujajua mpango halisi ninini mkuu? Ushasikia ubalozi wa urusi unavamiwa au chochote chao.
Niliwaambia mapema watu plan ni kuondoa mizizi ya iran na hezbollah. Hiv unajua Israel kashachukua maeneo tena ndani ya syria? Vita ni akili mura. Au hujiulizi kwanini Israel ilikuwa kila siku inashambulia syria lakin Russia kimya. Wakubwa hawatishan mzee wanaheshimiana ila wanadhalilishana tu.
Sasa Israel Ina ukubwa gani?Mbona hili lilijulikana. Ishu hapo ilikuwa ni Iran na hezbollah, hiv bado hujajua mpango halisi ninini mkuu? Ushasikia ubalozi wa urusi unavamiwa au chochote chao.
Niliwaambia mapema watu plan ni kuondoa mizizi ya iran na hezbollah. Hiv unajua Israel kashachukua maeneo tena ndani ya syria? Vita ni akili mura. Au hujiulizi kwanini Israel ilikuwa kila siku inashambulia syria lakin Russia kimya. Wakubwa hawatishan mzee wanaheshimiana ila wanadhalilishana tu.
hakuna anaesema watakuwa wemawote kwa Israel, , waarab ni sw na waafrika , ukitaka upendwe na waafrika jifanye kiongoz ambae unapiga vita ushoga bas utaungwa mkono, , hivyo hivyo kwa waarab ili. hao waasi wapate ushawishi hapo Syria lzm waseme wanapiga vita taifa la Israel ( ingawaje nyuma ya Pazia wanawafanyia kaziya Israel )Nyie mnaowashabikia hawa waasi kwa kudhani watakuwa wema kwa Israel na West nawashangaa sana, mnajisahaulisha hawa walikuwa sehemu ya Al Qaeda.
Wakati wowote kitawaka, watawageuka hamtoamini!
Kazi kazi tu mwanangu sasa ni dukani hatumwi mtoto, Assad alikuwa anawachekea mayahudi sasa watashika adabu yao hawa mazayuni, Well doneVyombo mbalimbali vya habari Nchini Urusi vimethibitisha kuwa Kiongozi wa waasi huko Syria baada ya majadiliano ya muda amekubaliana na serikali ya Urusi kuendelea kutekeleza majukumu yake nchini humo
Itakumbukwa kuwa Urusi ana Kambi mbili za kijeshi nchini Syria.
View attachment 3172710View attachment 3172711
Case closed the charge is on the trushVyombo mbalimbali vya habari Nchini Urusi vimethibitisha kuwa Kiongozi wa waasi huko Syria baada ya majadiliano ya muda amekubaliana na serikali ya Urusi kuendelea kutekeleza majukumu yake nchini humo
Itakumbukwa kuwa Urusi ana Kambi mbili za kijeshi nchini Syria.
View attachment 3172710View attachment 3172711
Kubet siyo mchezo bali kazi,mtu akibetia hela ya kula ni sawa tu,ana-take riskKubet sio mbaya ila una bet unamiliki nini? Unabet kwa kutumia pesa ya chakula.
huichukia kwenye media tu , kuna taarifa kuwa makamanda wa USA river hupotea kisha wanakutwa ni matrainer wa magaidi , Muvi zinachezwa haswaaMuda si muda patakua na mgogoro na israel,ngoja wakae mguu sawa, muislam yoyote wa harakati hizo huichukia USA na israel
huichukia kwenye media tu , kuna taarifa kuwa makamanda wa USA river hupotea kisha wanakutwa ni matrainer wa magaidi ,Muda si muda patakua na mgogoro na israel,ngoja wakae mguu sawa, muislam yoyote wa harakati hizo huichukia USA na israel
Huyo Jamaa huwa ni ZeroIQMbona hili lilijulikana. Ishu hapo ilikuwa ni Iran na hezbollah, hiv bado hujajua mpango halisi ninini mkuu? Ushasikia ubalozi wa urusi unavamiwa au chochote chao.
kuikabili ISRAEL sio sw na kuikabili Syria , ukiikabili Israel , Netanyau anapiga mfadhiri wenu na mfadhiri wenu ndo atawarudisha nyumaIt's too early, naona hata Pro Israel wamefurahi hawajui huyu ni threat kwa Israel kuliko hata Ayatollah!! Huyu ni literally ISIS na Al qaeda Graduate ni suala la muda tu atakua hatari kuliko Assad.