Km haamiki kitu gani kinawafanya kumuimba km shujaa wenu kwenye vijiwe vya gahawa mkilumagia na kashata.. kwani kuna watetezi wa uislamu ambao ni makafir ?We huoni haminiki kila mwenye kuvaa msalaba lazima apate lana, wewe wachunguze tu lazima utakuta wana kasoro tu. Na wengi wao waongo sana.
Mbona majeshi yenyewe ni ya wavaa misalaba pia? Au ulikuwa hujui.Wavaa misalaba watabisha
Putin kakudanganya nini?We huoni haminiki kila mwenye kuvaa msalaba lazima apate lana, wewe wachunguze tu lazima utakuta wana kasoro tu. Na wengi wao waongo sana.
Hakutatokea muungano wa Iran, China na Urusi hayo ni matamanio ya wanyonge dhidi ya mabeberu ambayo hayawezi kutimia mbele ya USA, UK na France katika karne hii.Netanyahu? Huyi vita zikiisha ana kesi ya ufisadi huko kwao inamsubiri ila ana buy time tu kesi zisogezwe mbele mind you ana arrest warrant pia ya ICC. So ongelea Israel siyo huyo anayekalia kuti kavu Israel.
Pia anguko la Israel itakua muungano wa Iran, Russia na China maadam Israel ni kibaraka wa marekani then mwisho wake utakua mikononi mwa haya mataifa matatu. Ni suala la muda tu ataingia kwenye 18 za Russia hapo syria
Iko hivi Dada,Nilibebwa na mihemuko, nilipotulia nikafanya homework vizuri ndio natoa credit where it's due, Abu katisha.
Hizo ni ndoto za AbunuasiNetanyahu? Huyi vita zikiisha ana kesi ya ufisadi huko kwao inamsubiri ila ana buy time tu kesi zisogezwe mbele mind you ana arrest warrant pia ya ICC. So ongelea Israel siyo huyo anayekalia kuti kavu Israel.
Pia anguko la Israel itakua muungano wa Iran, Russia na China maadam Israel ni kibaraka wa marekani then mwisho wake utakua mikononi mwa haya mataifa matatu. Ni suala la muda tu ataingia kwenye 18 za Russia hapo syria
Myahudi yeye kwake ni jino kwa jino.Uzuri Israeli anakupokea jinsi unavyokuja na michezo yote ya Middle East anaijua vizuri sana. Ukija kwa shari anakutuliza kama alivyowatuliza akina Sinwar na genge lake la magaidi
Au Qaeda ni chombo cha MarekaniNyie mnaowashabikia hawa waasi kwa kudhani watakuwa wema kwa Israel na West nawashangaa sana, mnajisahaulisha hawa walikuwa sehemu ya Al Qaeda.
Wakati wowote kitawaka, watawageuka hamtoamini!
Hakuna kiumbe wa kumtisha Israel kwa sasaIt's too early, naona hata Pro Israel wamefurahi hawajui huyu ni threat kwa Israel kuliko hata Ayatollah!! Huyu ni literally ISIS na Al qaeda Graduate ni suala la muda tu atakua hatari kuliko Assad.
Jidanganyeni.... huyo Urusi mbona mnamuogopa na anawapa silaha Hezbollah?Hakuna kiumbe wa kumtisha Israel kwa sasa
Unaweza kuithibitisha hii habari yako?!Mbona hata Hizbullah wamechukua udhibiti wa wa miji yote ya mpakani kati ya Syria
Majeshi ya Urusi yanatakiwa kuondoka Syria na yataondolewa kwa njia zozote zile au Syria igawanywe.
Pole, sio WAKRISTO wote wanavaa misalaba. Hata hivyo unayo nafasi kuchangia mada ya Syria kuliko kuanzisha mada mpya isiyohusika.Wavaa misalaba watabisha
Mkuu mtu akikusaidia haina MAANA ATAFANYA KWA NIABA YAKO .NINACHOKIONA MINI NI WANAJESHI WA SIRIA KUGOMA KUPIGINANaona waliokuwa wanasema Urusi hatakubali Asad aondoke wamebadilisha msemo.
Kivipi? Mbona huko Syria waliungana? Achaga hizo statement za "Haitotokea" wakati its obvious China is likely to ally with Russia kuliko USA due to historical factors.Hakutatokea muungano wa Iran, China na Urusi hayo ni matamanio ya wanyonge dhidi ya mabeberu ambayo hayawezi kutimia mbele ya USA, UK na France katika karne hii.
Mbaya zaidi ni kijana asiye na masilahi na CCM, kuishabikia CCMKijana wa kitanzania wa 1982 utakuta bado ana akili za kubet na kuwaza ngono, wstanzania tunachelewa kukomaa kia akili, sijui vya kula au mazingira?
Kuchanganyikiwa huko kwa mugwana wa hizbollah hajui ashike lipi aache lipi yeye kila anachokisikia anakibeba tu ili mradi kinaufurahisha moyo wake, sasa china sijui anaingiaje hapo?Hakutatokea muungano wa Iran, China na Urusi hayo ni matamanio ya wanyonge dhidi ya mabeberu ambayo hayawezi kutimia mbele ya USA, UK na France katika karne hii.
Wenzio hawajui hayo,wao wamebakia na chuki kwa kobazi,utadhani hao waasi ni wagalatia watupu, kweli dini ni utahiraNyie mnaowashabikia hawa waasi kwa kudhani watakuwa wema kwa Israel na West nawashangaa sana, mnajisahaulisha hawa walikuwa sehemu ya Al Qaeda.
Wakati wowote kitawaka, watawageuka hamtoamini!
Na hao ndio ISIS wenyewe. Gaidi haaminiki.Nyie mnaowashabikia hawa waasi kwa kudhani watakuwa wema kwa Israel na West nawashangaa sana, mnajisahaulisha hawa walikuwa sehemu ya Al Qaeda.
Wakati wowote kitawaka, watawageuka hamtoamini!