Kiongozi wetu akiwa na Marais wenzake wa Afrika anamsifia hayati Magufuli ila akiwa na mabeberu anamnanga na kumponda

Halafu majuzi anajidai kumtimua waziri wa nje kwa kujikomba kwa mabeberu na kumnnanga yeye😂😂
 
Wengi wanajua ukweli JPM alichofanya Tanzania, alikuwa Kama role model wa Africa, hawezi kumunanga mbele ya sanamu ya kwame nkuruma, atamunanga mbele ya mabeberu waiba rasilimali zetu hili apate kamusaada.
Msaada gani? Hawa type yao wanajikomba kupewa misaada ili wapige panga. Wanafanya ubadhilifu kodi na fedha yoyote ya umma na kushirikiana na wafadhali kula fedha inayoitwa ya misaada. Hela ya misaada wanapenda maana ni ni rahisi kula bila umma kutambua.
 
Huyu angeweza kumshauri vipi intellectual kama Magufuli?
 
Wengi wanajua ukweli JPM alichofanya Tanzania, alikuwa Kama role model wa Africa, hawezi kumunanga mbele ya sanamu ya kwame nkuruma, atamunanga mbele ya mabeberu waiba rasilimali zetu hili apate kamusaada.
Acha kufananisha Kwame Nkrumah na vitu vya ajabu
 
Kwani uongo?

Umekazana "mabeberu mabeberu" wewe ni tesi?
 
Ana u intelectual upi wewe?

Unafahamu maana ya intelectual?
Wwe lazima utakua mpiga deal la Ngada,si kwa kumchukia hivi Mwendazake,lazima alikuvurugia mipango yako haramu uliokua unafanya wwe na Mume wako!!
 
Wwe lazima utakua mpiga deal la Ngada,si kwa kumchukia hivi Mwendazake,lazima alikuvurugia mipango yako haramu uliokua unafanya wwe na Mume wako!!
Hapa ndipo penye Shida. Team Magu hamkuona mapungufu yake , na mmejiaminisha kua, ambao hawakumuelewa walikua, wapigadili, mafisadi , Wala rushwa ,na Wauza unga.

Kwanza ondoa hiyo dhana vichwani mwenu , muwe tayali kujua Yale alio boronga kwa kiasi kikubwa ,Huku akisofiwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…