CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Dhalim kaua sana Watanzania wenzake wasio na hatiaHawa wazungu waliomuua mzakendo Patrice Lumumba sio waongo? Habari ya ushenzi unauzua wewe kwa chuki zako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhalim kaua sana Watanzania wenzake wasio na hatiaHawa wazungu waliomuua mzakendo Patrice Lumumba sio waongo? Habari ya ushenzi unauzua wewe kwa chuki zako.
Nitakujibu ile Id yako uliyopigwa ban ikiruhusiwa.Dhalim kaua sana Watanzania wenzake wasio na hatia
Acha upuuzi.Kwani viongozi wa kiafrika ikiwemo dhalimu wameua waafrika wenzao wangapi, mpaka uone hatari Lumumba kuuliwa na wazungu?
Nakazia hapo.Unafiki na Kujipekeza. UNAFIKI
Vumilia ukweli tafadhali.Acha upuuzi.
Tokea lini upuuzi ukawa ukweli?Vumilia ukweli tafadhali.
Tokea lini upuuzi ukawa ukweli?
Hiyo unaijua wewe,twende hapa hapaNitakujibu ile Id yako uliyopigwa ban ikiruhusiwa.
Tabu ipi we mburula usiyejitambua? Sasa hivi hapa nilipo nakula wine.Utapata tabu sana sukuma gang.
Tabu ipi we mburula usiyejitambua? Sasa hivi hapa nilipo nakula wine.
Mama yako,acha kujitoa fahamu bitch.Kwani ni ww umenunua au mumeo?
Halafu majuzi anajidai kumtimua waziri wa nje kwa kujikomba kwa mabeberu na kumnnanga yeye😂😂Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae.
Ila akiwa huko Ghana akipewa tuzo amekiri kuwa hiyo tuzo aliyopewa hakustahili kuipata maana aliyestahili ni hayati JPM kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa taifa lake.
Ina maana alimnanga hayati JPM mabeberu ili akubalike kwa manufaa yake binafsi huku akijua alikuwa jembe?
Huku Afrika anajikosha ili iweje?
Aina hii ya viongozi ni wa kutilia mashaka.
Msaada gani? Hawa type yao wanajikomba kupewa misaada ili wapige panga. Wanafanya ubadhilifu kodi na fedha yoyote ya umma na kushirikiana na wafadhali kula fedha inayoitwa ya misaada. Hela ya misaada wanapenda maana ni ni rahisi kula bila umma kutambua.Wengi wanajua ukweli JPM alichofanya Tanzania, alikuwa Kama role model wa Africa, hawezi kumunanga mbele ya sanamu ya kwame nkuruma, atamunanga mbele ya mabeberu waiba rasilimali zetu hili apate kamusaada.
Huyu angeweza kumshauri vipi intellectual kama Magufuli?Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae.
Ila akiwa huko Ghana akipewa tuzo amekiri kuwa hiyo tuzo aliyopewa hakustahili kuipata maana aliyestahili ni hayati JPM kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa taifa lake.
Ina maana alimnanga hayati JPM mabeberu ili akubalike kwa manufaa yake binafsi huku akijua alikuwa jembe?
Huku Afrika anajikosha ili iweje?
Aina hii ya viongozi ni wa kutilia mashaka.
Acha kufananisha Kwame Nkrumah na vitu vya ajabuWengi wanajua ukweli JPM alichofanya Tanzania, alikuwa Kama role model wa Africa, hawezi kumunanga mbele ya sanamu ya kwame nkuruma, atamunanga mbele ya mabeberu waiba rasilimali zetu hili apate kamusaada.
Kwani uongo?Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae.
Ila akiwa huko Ghana akipewa tuzo amekiri kuwa hiyo tuzo aliyopewa hakustahili kuipata maana aliyestahili ni hayati JPM kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa taifa lake.
Ina maana alimnanga hayati JPM mabeberu ili akubalike kwa manufaa yake binafsi huku akijua alikuwa jembe?
Huku Afrika anajikosha ili iweje?
Aina hii ya viongozi ni wa kutilia mashaka.
Ana u intelectual upi wewe?Huyu angeweza kumshauri vipi intellectual kama Magufuli?
Wwe lazima utakua mpiga deal la Ngada,si kwa kumchukia hivi Mwendazake,lazima alikuvurugia mipango yako haramu uliokua unafanya wwe na Mume wako!!Ana u intelectual upi wewe?
Unafahamu maana ya intelectual?
Hapa ndipo penye Shida. Team Magu hamkuona mapungufu yake , na mmejiaminisha kua, ambao hawakumuelewa walikua, wapigadili, mafisadi , Wala rushwa ,na Wauza unga.Wwe lazima utakua mpiga deal la Ngada,si kwa kumchukia hivi Mwendazake,lazima alikuvurugia mipango yako haramu uliokua unafanya wwe na Mume wako!!