residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Ni mnafiki "numbero uno".Unafiki na Kujipendekeza. Yaani unafikiri ili ukubalike nao ni kumpondea aliyekuwa hapatani nao.
Waafrika anajua fika walikuwa wanamkubali so anataka kucheza kote kote. UNAFIKI