Kiongozi wetu akiwa na Marais wenzake wa Afrika anamsifia hayati Magufuli ila akiwa na mabeberu anamnanga na kumponda

Kiongozi wetu akiwa na Marais wenzake wa Afrika anamsifia hayati Magufuli ila akiwa na mabeberu anamnanga na kumponda

Unafiki na Kujipendekeza. Yaani unafikiri ili ukubalike nao ni kumpondea aliyekuwa hapatani nao.
Waafrika anajua fika walikuwa wanamkubali so anataka kucheza kote kote. UNAFIKI
Ni mnafiki "numbero uno".
 
Ni lini alitaka kujiuzulu? ….au ndo sababu ya kumwondoa yule.!

Kama ni ugumu mbona makamu wa sasa kafanywa kinyago tu.
Katika mwaka wa kwanza mwishoni na wa pili. Ila huyo aliyeondolewa sijakupata hapo.
 
Yote aliyosema ni kweli. Ni kweli SSH alifanya kazi kwa ugumu sana na JPM. Kumbuka kuna kipindi SSH akiwa Makamu alitaka kujiuzulu lakini ikaonekana consequences zitakuwa kubwa ikabidi SSH aendelee naye.

Ni kweli pia JPM ndiye anayestahili tuzo hiyo sababu ni yeye JPM ndiye aliyekuwepo na kusimamia miundombinu mingi kama Daraja la Kijazi, Mfugale, SGR, Stigler bwawa. To my opinion SSH ameongea ukweli na wala hajajipendekeza popote.
ni kipindi gani alitaka kujiuzulu? HUU UONGO MNAUTOA WAPI NYIE WATU?
 
Hahahaaa, kuna WACHAWI humu wanaumia na uwepo wa huyu mama hatari. Baada ya kushindwa kila kitu kuhusu yeye sasa wanahamia katika dini yake lengo likiwa kuwakasirisha na wengine wenye imani hiyo. Hakika 2025 itawafika katika moja ya hali hizi au zote;

1. matumbo yao ya uzazi yamewadoromboka na mimba hazikai tena (hii kwa wote wamchukiao hata wale wanaojihisi ni jinsi 'me').
2. Watakuwa wanaokota makopo barabarani maana watakuwa wameshachanganyikiwa tayari (chuki (ya wivu) ni sumu inayoathiri akili).
3. Watakuwa wapo majumbani kwao wameparalyse; hawaongei wala hawatikisiki (chuki (ya wivu) huathiri afya ya mwili).

Tupia lolote baya kuhusu yeye; ponda vyovyote ikupendezavyo; zusha vyovyote ipendezavyo nafsi yako; tupia neno lolote la chuki ulijualo n.k lakini yafuatayo tumeyaona na tunaendelea kuyaona;

1. Watu wamepanda daraja
2. Watu wamepandishiwa mishahara
3. Miradi inaendelea
4. Madarasa, tena ya maana tu, amejenga
5. Zahanati zinaendelea kujengwa
6. Miradi mikubwa tu inaendelea kama ilivyoachwa na marehemu (upewaji wa tuzo jana ni ushahidi)
7. Mishahara inaendelea kutoka kwa wakati kama ilivyoachwa na marehemu
n.k

Ambavyo ameshindwa mpaka sasa;

1. Kuzuia mfumuko wa bei (jitihada zake hazijazaa matunda bado lakini wenye akili zisizoshikiwa wanaziona).
2. Kuwaondoa ushamba sugu watanzania wa mawazo hasi dhidi ya mwanamke (hawaamini tu katika uwezo wa mwanamke hivyo inawawea vigumu kukubali chochote anachofanya hata kama wanatumia......kwenye hili wasomi na wasiosoma wote wako sawa tu mpaka sasa).
3. Kuondoa chuki dhidi yake kama mzanzibar na Muislamu. Moja ya sababu kuu ya kulazimisha chuki dhidi yake na kuchukiwa kwake ni hiyo ya uzanzibar wake na uislamu wake. Hili, kwa sababu ya unafiki, haliwekwi wazi lakini wahusika humu huwa wanajisahau (kama inavyofahamika kuwa Mungu hamfichi mnafiki) na kujikuta mara kwa mara wameshaitaja dini yake. Mjadala kidogo tu, hao wanaitaja dini yake. Nampongeza mama kwa kulipuuza hili na kuendelea kutenda kwa maadili.....aendelee hivyo na muda utamlipa!

Nje ya mada:

Mama kama unanisikia pale jangwani kuna bonge la legacy, ONDOA SHIDA YA MAJI PALE FANYA KITU CHENYE FAIDA CHANYA PALE MILELE NA MILELE hadi wanaokuchukia wasahau kupaita jangwani na wapaite Samia!
 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Umefungua nchi kwa kiwango cha dunia
 
Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae.

Ila akiwa huko Ghana akipewa tuzo amekiri kuwa hiyo tuzo aliyopewa hakustahili kuipata maana aliyestahili ni hayati JPM kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa taifa lake.

Ina maana alimnanga hayati JPM mabeberu ili akubalike kwa manufaa yake binafsi huku akijua alikuwa jembe?

Huku Afrika anajikosha ili iweje?

Aina hii ya viongozi ni wa kutilia mashaka.

Accra, Ghana

RAIS SAMIA APOKEA TUZO YA MJENZI MAHIRI YA BABACAR NDIAYE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea tuzo ya Babacar Ndiaye (2022) kwa mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita katika ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji.

Tuzo hiyo alipokea katika Mkutano wa 57 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ambayo hupewa viongozi wa Afrika walio mstari wa mbele katika kuendeleza miundombinu.

Katika hafla hiyo, Rais Samia ametoa wito kwa nchi za Afrika kuungana, kuzijenga na kuziwezesha jumuiya za kiuchumi za kikanda na bara zima kwa ujumla.

Rais amesema lengo la ujenzi wa miundombinu Tanzania ni kuunganisha nchi, ukanda wa Afrika Mashariki na nchi za SADC ili kufikia agenda ya utangamano wa Afrika kiuchumi na kijamii.

Wakati huo huo, Rais Samia amesema ni lazima Afrika izalishe, ichakate na ifanye biashara ndani ya bara ili Soko Huru la Bara la Afrika (AfCFTA) liweze kutimiza malengo.

Vile vile, Rais Samia amesema maendeleo ya miundombinu ni mchakato endelevu, hivyo anatambua michango ya Marais waliotangulia katika ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini kupitia Mfuko wa Barabara na Taasisi za kifedha za kimataifa.

Source : Kwa hisani ya : blog.ikulu
 
Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae.

Ila akiwa huko Ghana akipewa tuzo amekiri kuwa hiyo tuzo aliyopewa hakustahili kuipata maana aliyestahili ni hayati JPM kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa taifa lake.

Ina maana alimnanga hayati JPM mabeberu ili akubalike kwa manufaa yake binafsi huku akijua alikuwa jembe?

Huku Afrika anajikosha ili iweje?

Aina hii ya viongozi ni wa kutilia mashaka.
Nadhani MARA ZOTE ni hekima kubwai sana kuwa mnafiki unapokuwa uko na mabeberu. Nampongeza sana kwa hekima hii. Matatizo ambayo tayari tumeshayapata kutokana na mkono wa Mungu yanatutosha kabisa na hivyo hatuhitaji mengine tena ya kuyatafuta kwa mkono wetu wenyewe
 
Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae.

Ila akiwa huko Ghana akipewa tuzo amekiri kuwa hiyo tuzo aliyopewa hakustahili kuipata maana aliyestahili ni hayati JPM kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa taifa lake.

Ina maana alimnanga hayati JPM mabeberu ili akubalike kwa manufaa yake binafsi huku akijua alikuwa jembe?

Huku Afrika anajikosha ili iweje?

Aina hii ya viongozi ni wa kutilia mashaka.
Ndio njia ya kuwapata hao mabeberu. Simple.
 
Ndo tatizo la kuwa na Rais wenye asili ya Pwani, yaani ni wanafiki na wambea
 
..alipaswa kusema amepokea kwa niaba ya WATANZANIA badala ya amepokea kwa niaba ya Magufuli?
 
tuzo aliyopewa ni ya makufuli yeye kapokea kwa niaba tu. cha ajabu tv zetu zina sema kupokea kwa tuzo hiyo ya makufuli yeye pia alishiriki kufanikisha mafanikio hayo kwa sababu alikuwa makamu wa rais.

Kama ni hivyo tv zetu ziseme wazi kashfa anayopewa makufuli na kina zito na nape na mkaguzi wa mahesabu kwa makufuli na mama naye anashiriki kwa kashfa hiyo. sio kwenye tuzo mama yupo pamoja na jpm kwenye kashfa ni makufuli pekee hii ni dhambi kubwa sana

..Ni tuzo ya TANZANIA, sio ya Magufuli.

..Tutangulize maslahi ya nchi badala ya kutukuza watu.
 
angesimama mbele ya kwame amnange kaka yake,next trip angepokelewa na waongoza ndege pale pale airport.
 
Back
Top Bottom