Kiongozi Yanga asema wataifunga Al Ahly nje-ndani

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Makamu wa Rais Yanga, Arafat Haji ametamba wana kikosi kizuri ambacho kinaweza kushindana na timu kubwa katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwamba katika mchezo dhidi ya Al Ahly wapo tayari kupambana nao na kuhakikisha wanapata matokeo nyumbani na ugenini.

My Take
Kupata hivi vichekesho vya Utopolo unabonyeza ngapi-ngapi? 🤣🤣🤣🤣
 
Makamu wa Rais Yanga, Arafat Haji ametamba wana kikosi kizuri ambacho kinaweza kushindana na timu kubwa katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwamba katika mchezo dhidi ya Al Ahly wapo tayari kupambana nao na kuhakikisha wanapata matokeo nyumbani na ugenini.

My Take
Kupata hivi vichekesho vya Utopolo unabonyeza ngapi-ngapi 🤣🤣🤣🤣
Wewe na makolo wenzio akina Kalpana, GENTAMYCINE na wana mbumbumbu fc wengine, mtarudi hapa kuja kusema Yanga wamepangwa na vibonde Al Ahly..!! Time will tell..!!!
 
Al ahly kipaombele ni AFL na sio hivyo vijikombe vingine,watulie kwanza
 
Undezi ni mzgo kombe lenye heshima Afrika ni CAF... Hiyo Afl no Bonanza lilokuja kufanyiwa majaribio...! HAKUNA ligi inayochezwa mwezi mmoja.
 
CRY MORE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kudadadek.....
Mpaka mseme THIS IS SIMBA SC ni kuuuuuuubwaaaaaa kuliko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom