Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Ibrahim Baka na Job ndio wamalize pale kati harafu kulia kama kawa Yao Yao kushoto Lomalisa huko mbele weka yeyote waarabu watapata tabu yule Modeste wao anaruka sana vichwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena yule Muhasibu asiye na vyeti. 🤣🤣Ulitaka asemeje ndugu mhasibu?
Halafu sasa hivi walivyo kwenye hii AFL wanasema Tp Mazembe ni Mkubwa mwenzao. Lol.Yalisemwa haya hata wakati wa TP Mazembe..!!! Katika hayo maajabu unayoamini mpira unayo, la Al Ahly kufungwa nje ndani, limo pia.
Hivi upogo eeh? 😉Al ahly kipaombele ni AFL na sio hivyo vijikombe vingine,watulie kwanza
Shida hakuchomwa sindano yake ya kutuliza akili asitoroke wodini.Shida iko wapi hapo?
Kwanini Al Ahly kufungwa kwao Misri huoni kama ni sehemu ya maajabu ya mpira?Mpira una maajabu,lakini hawawezi kumfunga Al Ahly kwao Misri labda Dar es salaam