OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wewe na makolo wenzio akina Kalpana, GENTAMYCINE na wana mbumbumbu fc wengine, mtarudi hapa kuja kusema Yanga wamepangwa na vibonde Al Ahly..!! Time will tell..!!!Makamu wa Rais Yanga, Arafat Haji ametamba wana kikosi kizuri ambacho kinaweza kushindana na timu kubwa katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwamba katika mchezo dhidi ya Al Ahly wapo tayari kupambana nao na kuhakikisha wanapata matokeo nyumbani na ugenini.
My Take
Kupata hivi vichekesho vya Utopolo unabonyeza ngapi-ngapi 🤣🤣🤣🤣
Yalisemwa haya hata wakati wa TP Mazembe..!!! Katika hayo maajabu unayoamini mpira unayo, la Al Ahly kufungwa nje ndani, limo pia.Mpira una maajabu,lakini hawawezi kumfunga Al Ahly kwao Misri labda Dar es salaam
Unazungumzia TP Mazembe gani huyuYalisemwa haya hata wakati wa TP Mazembe..!!! Katika hayo maajabu unayoamini mpira unayo, la Al Ahly kufungwa nje ndani, limo pia.
Bila kusahau El MelekhYalisemwa haya hata wakati wa TP Mazembe..!!! Katika hayo maajabu unayoamini mpira unayo, la Al Ahly kufungwa nje ndani, limo pia.
Ile ni TP Mazembe siyo Al AhlyYalisemwa haya hata wakati wa TP Mazembe..!!! Katika hayo maajabu unayoamini mpira unayo, la Al Ahly kufungwa nje ndani, limo pia.
Hii statement inafit kwa kila timu itakayotajwa..!!!Ile ni TP Mazembe siyo Al Ahly
Mkuu tuweke ushabiki pembeni aliyewahi kumfunga Al Ahly kwao ni Mamelodi, nadhani unakumbuka Mamelodi walipokuwa kwenye pick si hii ya sasa,mpira waliopiga wakati huo ni balaaHii statement inafit kwa kila timu itakayotajwa..!!!
Undezi ni mzgo kombe lenye heshima Afrika ni CAF... Hiyo Afl no Bonanza lilokuja kufanyiwa majaribio...! HAKUNA ligi inayochezwa mwezi mmoja.Al ahly kipaombele ni AFL na sio hivyo vijikombe vingine,watulie kwanza
CRY MORE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Undezi ni mzgo kombe lenye heshima Afrika ni CAF... Hiyo Afl no Bonanza lilokuja kufanyiwa majaribio...! HAKUNA ligi inayochezwa mwezi mmoja.
Uliwahi kuwafunga?Ile ni TP Mazembe siyo Al Ahly