Ajabu nikuwa katika hilo Bonanza ni timu yako tu ambayo haina hata taji la CAF... Huo ukubwa wko ni ukubwa jinga au ni ukubwa wa uzee wa wachezaji wenu?.CRY MORE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kudadadek.....
Mpaka mseme THIS IS SIMBA SC ni kuuuuuuubwaaaaaa kuliko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwa akili yako ulitegemea arafat asemeje?Makamu wa Rais Yanga, Arafat Haji ametamba wana kikosi kizuri ambacho kinaweza kushindana na timu kubwa katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwamba katika mchezo dhidi ya Al Ahly wapo tayari kupambana nao na kuhakikisha wanapata matokeo nyumbani na ugenini.
My Take
Kupata hivi vichekesho vya Utopolo unabonyeza ngapi-ngapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AFL ni bonanza tu kama nani mtani jembe ndio maana bingwa anaishia hapo hapo hapati promotion yeyote zaidi ya Fedha tu ,ila Champions league bingwa anaenda kucheza Fifa Club World Cup huko atakutana na vigongo vya ulaya kama Man U ,Real Madrid na Bayern .Al ahly kipaombele ni AFL na sio hivyo vijikombe vingine,watulie kwanza
Bwana Dabil akikujibu naomba uni - tagUliwahi kuwafunga?
Kama Simbwa wanavyowategemea siku zote, usifikili Kila timu Ina base ya waganga wa kienyeji Kama nyieMnategemea waganga 🤣🤣🤣🤣
Ihefu na iheshimiwe jamani...Wewe na makolo wenzio akina Kalpana, GENTAMYCINE na wana mbumbumbu fc wengine, mtarudi hapa kuja kusema Yanga wamepangwa na vibonde Al Ahly..!! Time will tell..!!!
Kabisa, wapewe mauwa yao..!!!Ihefu na iheshimiwe jamani...
Wale ni Mamelodi na si Yanga..!!Mkuu tuweke ushabiki pembeni aliyewahi kumfunga Al Ahly kwao ni Mamelodi, nadhani unakumbuka Mamelodi walipokuwa kwenye pick si hii ya sasa,mpira waliopiga wakati huo ni balaa
Ha ha ha ha ha haMakamu wa Rais Yanga, Arafat Haji ametamba wana kikosi kizuri ambacho kinaweza kushindana na timu kubwa katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwamba katika mchezo dhidi ya Al Ahly wapo tayari kupambana nao na kuhakikisha wanapata matokeo nyumbani na ugenini.
My Take
Kupata hivi vichekesho vya Utopolo unabonyeza ngapi-ngapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TP Mazembe huyo huyo aliyepo super league ama Africa football league kwasasaUnazungumzia TP Mazembe gani huyu
Nahua anatukana sanaMuanzisha uzi anatabia ya kukimbia nyuzi zake mwaka jana alikuwa anakimbia kwenye nyuzi zake na alikuwa kadata [emoji1787]
Jifunze kwanza kuandikaNahua anatukana sana
Sina muda namhasibu wamchongoJifunze kwanza kuandika
Al ahly kipaombele ni AFL na sio hivyo vijikombe vingine,watulie kwanza