Kipa aliyefundishwa na kuiva vizuri awezi kufungwa goli kama lile la pili,,unapoona Mpira umekuzidi inatakiwa kutanua mikono yako kuusukumiza mbali na sio kutaka kudaka namna Ile utadhani unadaka senene🚮🚮
Yanga ni timu kubwa na mahitaji yake ni makubwa ivyo usidhani unachezea kmc ama Dodoma Jiji inatakiwa kuboresha kiwango chako vinginevyo utasahaulika benchi akuna atakayevumilia upuuzi wa namna iyo Tena!
Yanga wanaoonekana kuanza kurudi taratibu kwenye ubora wao baada ya baadhi ya wachezaji waliokuwa majeruhi kurudi,,timu inafanya mashambulizi ya haraka na kwa kufanya transition kuanzia nyuma kwenda mbele unaiona ramani inavyochorwa ni suala la muda tu kuimarisha back line na eneo hilo nadhani litakaa sawa hivi karibuni kwakuwa kibwana karejea na boka upande wa kushoto!
Lakini kipa khomein boresha kiwango chako ukifanya kosa mara ya pili ndio itakuwa mwisho wako kusimama pale golini ni Bora mshery arudi kwenye milingoti mitatu na kitachofata ni kukutoa kwa mkopo uko kwenye timu unazoendana nazo!