Kipa Khomein atutaki tukuite mara tatu kama magori alivyomuita camara,,makosa ya kijinga uliyofanya leo iwe mwanzo na mwisho!

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Kipa aliyefundishwa na kuiva vizuri awezi kufungwa goli kama lile la pili,,unapoona Mpira umekuzidi inatakiwa kutanua mikono yako kuusukumiza mbali na sio kutaka kudaka namna Ile utadhani unadaka senene🚮🚮

Yanga ni timu kubwa na mahitaji yake ni makubwa ivyo usidhani unachezea kmc ama Dodoma Jiji inatakiwa kuboresha kiwango chako vinginevyo utasahaulika benchi akuna atakayevumilia upuuzi wa namna iyo Tena!

Yanga wanaoonekana kuanza kurudi taratibu kwenye ubora wao baada ya baadhi ya wachezaji waliokuwa majeruhi kurudi,,timu inafanya mashambulizi ya haraka na kwa kufanya transition kuanzia nyuma kwenda mbele unaiona ramani inavyochorwa ni suala la muda tu kuimarisha back line na eneo hilo nadhani litakaa sawa hivi karibuni kwakuwa kibwana karejea na boka upande wa kushoto!

Lakini kipa khomein boresha kiwango chako ukifanya kosa mara ya pili ndio itakuwa mwisho wako kusimama pale golini ni Bora mshery arudi kwenye milingoti mitatu na kitachofata ni kukutoa kwa mkopo uko kwenye timu unazoendana nazo!
 
Wewe Kama nani pale jangwani ndugu mtia mkwara kwa kipa mtori mtori ?
 
Jinga kweli unaweza kudaka mpira vile ikipigwa benchi yanakuja yale majamaa yasiyojua mpira na kampeni za kumuondoa kocha harafu mambo yakiwa hovyo yanakaa kimya kama hayana bando..
 
Kipa boya sana yule! Kanikumbusha enzi za utoto tulivyokuwa tunadaka panzi, udakaji gan ule kummkk🚮🚮
 
Mpira haukosi makosa
Mbona mnalazimisha tuwadharau Kwa ushabiki mandazi wenu
Wachezaji wa ndani mbona wanakosea kwani kipa ni malaika
Mbona hukuja kumpongeza mechi ya Tp Mazembe
 
Jinga kweli unaweza kudaka mpira vile ikipigwa benchi yanakuja yale majamaa yasiyojua mpira na kampeni za kumuondoa kocha harafu mambo yakiwa hovyo yanakaa kimya kama hayana bando..
Kanikera sana,,anajua kabisa ule ni uwanja wa nyasi bandia na kitaalamu Mpira uwa unakimbia sana kwenye uwanja wa nyasi bandia ivyo utakiwi kufanya kosa la kipuuzi kama lile alilolifanya pale,,alafu anataka audake Mpira wakati una Kasi,,ovyo kabisa asituletee za kuleta!
 
Ni siku mbaya kazini
Namuamini ni goal keeper mzuri mno
Tumpe tu muda
Ni siku mbaya kwake tunakubali lakini ameonyesha udhaifu wake,,timu pinzani zitaanza kuwa zinampelekea moto kwa mipira ya mbali maana washajua udhaifu wake ivyo anatakiwa kujiangalia na kocha wake wa makipa amrudishe kwenye meza ya mafunzo asije kurudia Tena upuuzi
 
Hujawahi kucheza mpira
 
Hafaiiiiiiiiiiiii,mtuu akilenga goal kimo,anajisahauu Sanaa.Hivi katampii yule wa coast hawakumuona.
 
Hujawahi kucheza mpira
Nishacheza mkuu nilikuwa bonge la beki namba 2 king'ang'anizi ilikuwa kunipita uwe unajiweza kweli kweli ndio maana ishu za kuruhusu magoli ya kizembe nayakemea!
 
Hafaiiiiiiiiiiiii,mtuu akilenga goal kimo,anajisahauu Sanaa.Hivi katampii yule wa coast hawakumuona.
Yule ni mzuri lakini atuwezi kusajili makipa wawili wote wa kigeni ayo ni matumizi mabaya ya nafasi za wachezaji wa ndani
 
A
Kipa aliyefundishwa na kuiva vizuri awezi kufungwa goli kama lile la pili,,unapoona Mpira umekuzidi inatakiwa kutanua mikono yako kuusukumiza mbali na sio kutaka kudaka namna Ile utadhani unadaka senene🚮🚮
Yanga ni timu kubwa na mahitaji yake ni makubwa ivyo usidhani unachezea kmc ama Dodoma Jiji inatakiwa kuboresha kiwango chako vinginevyo utasahaulika benchi akuna atakayevumilia upuuzi wa namna iyo Tena!
Yanga wanaoonekana kuanza kurudi taratibu kwenye ubora wao baada ya baadhi ya wachezaji waliokuwa majeruhi kurudi,,timu inafanya mashambulizi ya haraka na kwa kufanya transition kuanzia nyuma kwenda mbele unaiona ramani inavyochorwa ni suala la muda tu kuimarisha back line na eneo hilo nadhani litakaa sawa hivi karibuni kwakuwa kibwana karejea na boka upande wa kushoto!
Lakini kipa khomein boresha kiwango chako ukifanya kosa mara ya pili ndio itakuwa mwisho wako kusimama pale golini ni Bora mshery arudi kwenye milingoti mitatu na kitachofata ni kukutoa kwa mkopo uko kwenye timu unazoendana nazo!
akamuulize metacha mnata kilichowahi mkuta mpaka aliingia zogo na mashabiki na kuzalaulika mazima ,,aendelee tu hivyo hivyo
 
Atutamvumulia ajiangalie na ajisahihishe bado ajachelewa,,atuwezi kwenda kucheza ligi ya mabingwa tukiwa na kipa anayetoa maboko namna Ile,,aache upuuzi wake!
 
Sikatai kuwa katika mpira kufungwa ni kawaida ila kwa class yake lile goli la pili inatakiwa ajitathmini
 
Kanikera sana,,anajua kabisa ule ni uwanja wa nyasi bandia na kitaalamu Mpira uwa unakimbia sana kwenye uwanja wa nyasi bandia ivyo utakiwi kufanya kosa la kipuuzi kama lile alilolifanya pale,,alafu anataka audake Mpira wakati una Kasi,,ovyo kabisa asituletee za kuleta!
Ajifunze utulivu akiwa golini
 
Back
Top Bottom