Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
Kuna watu wameanza kuelekeza mitazamo kwenye imani za wawili hao, nchi hii!!Bw. Ally Masoud Nyomwa anayejulikana zaidi kwa jina la Masoud Kipanya (KP), amafungua mashitaka Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Ndogo ya Dar es Salaam) dhidi ya Bw. Burton Mwemba Mwijaku anayemtuhumu kumkashifu, kumshushia hadhi na heshima yake
Si wote maustaadhi.Kuna watu wameanza kuelekeza mitazamo kwenye imani za wawili hao, nchi hii!!
Ndio tabu ya kuvimba na kushindwa kuwa low key. Madalali wa mahakama hawatakuwa na taabu kulipata ghorofa hiloLazima tukalidake lile ghorofa tulipige bei. Pesa tukanywee beer
🤣Si wote maustaadhi.
Jitokeze wazi kama alivyofanya Mwijaku sio kujificha nyuma ya kicharazio(keyboard).Mbona kweli anajihusisha na biashara haramu
Wote imani moja majina yasikuchanganyeKuna watu wameanza kuelekeza mitazamo kwenye imani za wawili hao, nchi hii!!
Huyu kuna siku atapotezwa ana sifa za kijinga sanaKadri siku zinavyozidi kwenda Mwijaku anajichetua zaidi, yaani ya leo inakua zaidi ya jana.
Uchawa wake uwe na kikomo sasa, kina babalevo ni machawa ila kidogo wanajibehave hawana ulipolopo alionao huyu kiumbe.
Achunge asijegusa pabaya akapotezwa kabisa.
Mbaya zaidi ni kila siku anazidisha vioja..Huyu kuna siku atapotezwa ana sifa za kijinga sana
Mkuu nilitaka kuwapeleka members kwenye mitazamo yao Middle EastWote imani moja majina yasikuchanganye
Hawa woote no wafanyakazi Clouds Boss wao ameshindwa kuwasuluhisha. Ila Burton kazidi bwana wacha yamkute.
Mimi kwa kweli ananikwaza mbona wenzie kina baba levo hawajichetui kwa kuwavunjia watu heshima za kashfa za kijinga??Mbaya zaidi ni kila siku anazidisha vioja..
Sasa huna ushahidi unaropokaje na unajua mahakama zipo na zinahitaji ushahidi pindi ukifikishwa huko.Jamaa hakuropoka tu bila sababu aliropoka kitu ambacho kipo sema alichokosea ni kuropoka bila ushahidi na ndo hapo jamaa atamnyongea ila alichokisema hajasingizia.