XaviMessIniesta
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 2,231
- 2,778
You're right
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wadanganyika wengi hamuamini kuwa ADUI wa Nchi yetu ni cccm Siku watu wote tukimjua basi matatizo ya Nchi hii yatapungua kama sio kwisha kabisa...Watanzania tulidanganywa JIWE hakustahili kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi!
Kifo kipo tuHuyu Kipanya japo anapenda kazi yake ila kwa sasa namshauri angechora Wasanii tu.
kwangu mimi huyu ni kijana......sio kijana jamani! Mtu mzima kabisa
why mkuu?au wasanii ni soft targets;acha woga na freedom of speech ni haki yetu,unakatisha kuona pamoja na kuwa middle class citizen una woga kama watu wa hapa kwetu LINGUSENGUSE.Huyu Kipanya japo anapenda kazi yake ila kwa sasa namshauri angechora Wasanii tu.
Kifo kipo tu
why mkuu?au wasanii ni soft targets;acha woga na freedom of speech ni haki yetu,unakatisha kuona pamoja na kuwa middle class citizen una woga kama watu wa hapa kwetu LINGUSENGUSE.
Hapo si amewachora yanga?
Kwani CCM ina timu ya masumbwi?Yanga wana timu ya dondi? Acheni mambo yenu. Kama ameambiwa afute aifute tu. Si hakuwa na nia mbaya! Aifute tu. Huo ni uungwana. Kuna mmoja kamshauri humu ajikite na sanaa aache siasa. Siasa ni mbaya sana. "Zinamuumiza" Abutreka huko Misri. Yule mkimbiaji wa Ethiopia kaambiwa arudi nyumbani lakini anasita. "Alipinda" mikono yake "kisiasa" alipomaliza mbio huko Brazil. Akawaudhi watu kule kwao akashindwa kurudi. Msanii huyu achore katuni za kimaendeleo, kisanaa na kiburdani apate pesa ale na familia yake. Siasa mbaya sana.
Kwani waliompigia simu ni CCM?Kwani CCM ina timu ya masumbwi?