Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

Watu mnapenda Sana kulalamika ovyo ovyo mnauhakika gani na hyo taarifa Kama ni yakweli au sio ya kweli?
Je huyo aliyebandika hyo thread ndio kipanya mwenyewe
 
[emoji23] [emoji23] Yanga na Brazil, Sasa Brazil gani ana mguu mmoja.
Ushangae alielazwa hospital kwa kushambuliwa visu ndio anashtakiwa kwa shambulio !!. Mbunge anashambuliwa mbele ya OCD kwa kipigo na kutemewa makohozi lakini hakuna hatua zozote.

Cartoon hiyo inafaa na somo kwa mwenye akili asiye mnafiki [emoji120]
 
Omera dhi e tich.

Yanga wana timu ya dondi? Acheni mambo yenu. Kama ameambiwa afute aifute tu. Si hakuwa na nia mbaya! Aifute tu. Huo ni uungwana. Kuna mmoja kamshauri humu ajikite na sanaa aache siasa. Siasa ni mbaya sana. "Zinamuumiza" Abutreka huko Misri. Yule mkimbiaji wa Ethiopia kaambiwa arudi nyumbani lakini anasita. "Alipinda" mikono yake "kisiasa" alipomaliza mbio huko Brazil. Akawaudhi watu kule kwao akashindwa kurudi. Msanii huyu achore katuni za kimaendeleo, kisanaa na kiburdani apate pesa ale na familia yake. Siasa mbaya sana.
Nenda kachukue buku 7 yako
 
Kwani CCM Wana timu ya Ndondi ?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Endelea kukereka aliyekwambia mimi Mtanzania nani?

Wewe ambaye hujakataa tamaa endelea kufanya kilicho sahihi kwako usitake kila mtu awe kama wewe.
kweli wewe zirooo, hata uraia wako huujui!!
 
Back
Top Bottom