Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

Endelea kujaza Hasira kwenye Nchi yako utapasuka na hasira zako hauna pa kuzipeleka.
sina hasira na nchi yangu nnahasira na intruders wanaoharibu nchi yangu... hata hivyo tunajua tunavyo sort mambo yetu vizuri... si unafahamu historia ya tz vizuri
 
Kwani huyo mcheza masumbwi ni nani mpaka Kipanya apigiwe simu..
Mbona ata Francis Cheka uwa anavaa hizo jezi..

Au kwa kuwa zimeshabihiana na sare za kile chama cha mboga mboga .
 
Nenda kachukue buku 7 yako
Tunamshauri tu msanii aepuke matatizo yasiyo ya lazima. Mnamshangilia sasa, kuumia ataumia mwenyewe wala hamtakuwepo. Kwa nini mnamdanganya mtu. Si ukae kimya tu. Lazima uchangie? Msimjibie acheni ajibu mwenyewe. Kama wenzako wanakwazika yeye kula hata nyama, Mtume Paulo alisema "Sitakula nyama kamwe". Namfahamu Kipanya. Ni msanii mzuri, mshereheshaji mzuri ni mwezeshaji mzuri wa masuala ya kijamii. Bora angeiweka sanaa yake ku-address masuala mengi ya kijamii na maendeleo. Aiweke kuelimisha jamii juu ya mambo mengi tu yenye tija kuliko mapambano ya kisiasa. Kuna maeneo mengi ya kuiweka sanaa yake hiyo adimu. Kwa mfano anaweza kuwafikia vijana walio na vidonda katika nafsi zao na kutumia sanaa ya uchoraji kuwaletea uponyaji (psycho-social healing). Hiyo imefanyika Ethiopia, Uganda na mahali pengine. Kupambana kisiasa kwa Msanii wetu si mahala pake. Tunamshauri aipeleke mahali panapofaa zaidi. Sio kwenye siasa. Sanaa za kisiasa awaachie wasanii wa kisiasa. Yeye amekwisha jitambulisha na jamii yetu kuwa ni msanii wa kimaendeleo.
 
Yanga wana timu ya dondi? Acheni mambo yenu. Kama ameambiwa afute aifute tu. Si hakuwa na nia mbaya! Aifute tu. Huo ni uungwana. Kuna mmoja kamshauri humu ajikite na sanaa aache siasa. Siasa ni mbaya sana. "Zinamuumiza" Abutreka huko Misri. Yule mkimbiaji wa Ethiopia kaambiwa arudi nyumbani lakini anasita. "Alipinda" mikono yake "kisiasa" alipomaliza mbio huko Brazil. Akawaudhi watu kule kwao akashindwa kurudi. Msanii huyu achore katuni za kimaendeleo, kisanaa na kiburdani apate pesa ale na familia yake. Siasa mbaya sana.
Kuwapangia wasanii kazi zao kama umewaajiri sio sawa!! Umewaajiri?! Unawalipa posho kukupromote!?? Nigger please. [emoji19] [emoji19]
 
Tatizo wadanganyika wengi hamuamini kuwa ADUI wa Nchi yetu ni cccm Siku watu wote tukimjua basi matatizo ya Nchi hii yatapungua kama sio kwisha kabisa...
Ndoto ya mchana. Shida haitaisha mpaka ufe mkuu!!
 
Naona anataka kutuambia kuwa zana za kuimaliza mara moja anazo lakini anajisumbua kurusha ngumi
 
Kuwapangia wasanii kazi zao kama umewaajiri sio sawa!! Umewaajiri?! Unawalipa posho kukupromote!?? Nigger please. [emoji19] [emoji19]
Kila kipawa kinahitaji ushauri, malezi na maongozi. Ulimwengu umekuwa na watu wengi wazuri ambao vipawa vyao vilikosa malezi na mashauri na vikaishia njiani. .
 
Back
Top Bottom