Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Inasemekana watu wasiofahamika wamempigia Kipanya simu kumtaka afute katuni hii kwenye akaunti zake za kijamii, kipanya aliitikia wito na kuifuta lakini baadae alibadilisha mawazo na kuirudisha tena

667E6AF1-7F3F-4589-A67B-18D3D5C2D98B.jpeg
 
Kwanini hii Katuni wasiamini inawahusu Yanga walipocheza na Mawenzi market?
Kama CCM hawajafanya kibaya chochote na wanaungwa mkono 100% na Watanzania wote kama wanavyojitapa basi watuachie sisi raia tutamdhibiti anayeichafua serikali yetu ya Malaika wasiokosea. Ona sasa wanavyojishuku hata kwa vikatuni tu.
 
Back
Top Bottom