Kipengele cha kuwabeba Polisi wasishtakiwe katika Muswada mpya chafutwa na Serikali

Kipengele hicho ni hatari sana kuwepo maana wangekuwa wanaua mchana kweupe,big up Mh SSH kwa kuliona!
 
Miwani Ya Mama Imeona Dosari Kuwa Hawa Watu Wanaweza Kutumia
Kula Kwa Urefu Wa Kamba Vibaya Sana
Sasa Amekitoa
 
Kama ni kweli raisi aliagiza kiondolewe kifungu kwenye mswaada uliopo bungeni (unajadiliwa), hilo ni kosa la kikatiba. Raisi hana mamlaka ya kuagiza mswaada unaojadiliwa kubadilishwa bila kuongea na wahusika na kuwasikiliza maoni yao. Na haya maongezi yangefanywa baada ya kuondolewa mswaada bungeni na baadaye akaurudisha bungeni wakikubaliana. Au angefuata sheria na utaratibu angeungoja huo mswaada upitishwe na akaungoja ofissini kwake ambapo angekataa kutia sahihi, na kuurudisha bungeni na maelekezo kwa nini hakuutia sahihi. Baada kurudishwa bunge lingeweza kuurudisha kwake bila mabadiliko ambapo ingetegemea umepitishwa kwa wabunge kiasi gani. Kama ni theluthi mbili au zaidi ingekuwa ndiyo mwisho wa mchezo, raisi hana uwezo kwa kukataa..yaani analazimika kuutia sahihi. Kama ni chini ya theluthi mbili, angevunja bunge na kuitisha uchaguzi.

Mimi sitetei hicho kipengele kuwepo ila naona kuna athari nyingi kwa raisi kuchukuwa simu na kupiga bungeni kuagiza kipengele fulani kuondolewa. Kwa sasa kuna wale wanaoshangilia kwa sababu ni kweli hicho kipengele kilikuwa na matatizo na ukakasi, hasa pale police anapewa immunity kuondolewa liability akitenda makosa ya jinai. Lakini kuna siku nyingine raisi anaweza pia kunyanyua simu kutaka mabadiliko au kuondolewa kifungu ambacho labda sisi wananchi tunakitaka. Je, akifanya hivyo tutamwambia anaingilia shughuli za bunge? Je kikija kifungu cha kumuajibisha raisi mstaafu kwa makosa ya jinai aliyotenda akiwa kazini au baada ya kustaafu unafikiri atakubali kujitia kitanzi? Akitoa agizo kifungu hicho kiondolewe tutalalamika ameingilia bunge?

Raisi anayo nafasi yake ya kikatiba ya kukataa sheria au vifungu katika sheria. Anatakiwa avitumie hivyo vifungu na siyo kutoa amri mabadiliko yafanyike. Kama hili limeongelewa mitandaoni na akazibuka angetumia taratibu aliyopewa na katiba na siyo kutumia taratibu ambayo anakatazwa na katiba kuinjgilia mihimili mingine. Kwa wale MACHADEMA kuweni waangalifu kushangilia bila kufanya "critical analysis" ya mnachokishangilia. Kama ninyi ni waumini wa kufuata katiba ama hii au ile mnayodai, cha muhimu kwenu ni kuifuata katiba na siyo kuingia kwenye mitego midogo kama hii. Mimi nakubaliana na yule aliesema raisi SSH anatafuta kiki na sifa ndogondogo bila kugundua athari zake za uvunjivu wa katiba aliyoapa kuisimamia na kuitii. Katiba inamtaka asiingilie mihimili mingine (bunge/parliament na mahakama/judiciary).
Umemuona mwenye akili yeyote anashangilia huo utopolo? Kwani aliyeandaa huo Muswada ni nani kama siyo yeye kupitia organs zake na kuupitia akiwa Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri na kuubariki? Leo tuanze kumsifu mtu aliyeandika na kufuta?
 
gazeti lote la nini
 
View attachment 2113292
===
Kelele zety za kupinga kipengele kinachotaka Polisi awapo kwenye majukumu yake na akitenda jinai asishitakiwe kimemfikia Rais Samia Suluhu Hassan na tayari amemuagiza AG Feleshi kukichomoa kifungu hicho.

Sasa muswada wa Sheria ya Marekebisho mbalimbali Na.7 uliopitishwa jana na Bunge utafanyiwa marekebisho.

Sasa ni rasmi Serikali imefuta Ibara ya 24 iliyokuwa inapendekeza kifungu kipya 47A.

Lengo la kifungu hiki lilikuwa ni kutoa mamlaka kwa Polisi kufanya operesheni za kificho kwa madhumuni ya kuzuia utendaji wa makosa - AG Feleshi, alilieleza Bunge
Ina maana siku hizi process za utungaji wa sheria zimebadilishwa? Kwamba Rais anatoa tu maagizo kuwa sheria ipite au isipite bungeni?
Is it that legislation process has been that much compromised?!
 
Wabunge lazima wawe na aibu kuwa wanategemea kila kitu RAIS awape mungozo wa nini kina faida kwa wananchi katika maamuzi yao! Mnakula mshahara mkubwa bila Kufanya kazi mnayostahili kufanya ; you should be ashamed!! HONGERA Rais kwa marekebisho hayo ya sheria!
Hawa ni wabunge wa serikali....hivyo chochote kitakacholetwa lazima kipite tu.
 
View attachment 2113292
===
Kelele zety za kupinga kipengele kinachotaka Polisi awapo kwenye majukumu yake na akitenda jinai asishitakiwe kimemfikia Rais Samia Suluhu Hassan na tayari amemuagiza AG Feleshi kukichomoa kifungu hicho.

Sasa muswada wa Sheria ya Marekebisho mbalimbali Na.7 uliopitishwa jana na Bunge utafanyiwa marekebisho.

Sasa ni rasmi Serikali imefuta Ibara ya 24 iliyokuwa inapendekeza kifungu kipya 47A.

Lengo la kifungu hiki lilikuwa ni kutoa mamlaka kwa Polisi kufanya operesheni za kificho kwa madhumuni ya kuzuia utendaji wa makosa - AG Feleshi, alilieleza Bunge
Feleshi ni laana kwa taifa
 
Kama ni kweli raisi aliagiza kiondolewe kifungu kwenye mswaada uliopo bungeni (unajadiliwa), hilo ni kosa la kikatiba. Raisi hana mamlaka ya kuagiza mswaada unaojadiliwa kubadilishwa bila kuongea na wahusika na kuwasikiliza maoni yao. Na haya maongezi yangefanywa baada ya kuondolewa mswaada bungeni na baadaye akaurudisha bungeni wakikubaliana. Au angefuata sheria na utaratibu angeungoja huo mswaada upitishwe na akaungoja ofissini kwake ambapo angekataa kutia sahihi, na kuurudisha bungeni na maelekezo kwa nini hakuutia sahihi. Baada kurudishwa bunge lingeweza kuurudisha kwake bila mabadiliko ambapo ingetegemea umepitishwa kwa wabunge kiasi gani. Kama ni theluthi mbili au zaidi ingekuwa ndiyo mwisho wa mchezo, raisi hana uwezo kwa kukataa..yaani analazimika kuutia sahihi. Kama ni chini ya theluthi mbili, angevunja bunge na kuitisha uchaguzi.

Mimi sitetei hicho kipengele kuwepo ila naona kuna athari nyingi kwa raisi kuchukuwa simu na kupiga bungeni kuagiza kipengele fulani kuondolewa. Kwa sasa kuna wale wanaoshangilia kwa sababu ni kweli hicho kipengele kilikuwa na matatizo na ukakasi, hasa pale police anapewa immunity kuondolewa liability akitenda makosa ya jinai. Lakini kuna siku nyingine raisi anaweza pia kunyanyua simu kutaka mabadiliko au kuondolewa kifungu ambacho labda sisi wananchi tunakitaka. Je, akifanya hivyo tutamwambia anaingilia shughuli za bunge? Je kikija kifungu cha kumuajibisha raisi mstaafu kwa makosa ya jinai aliyotenda akiwa kazini au baada ya kustaafu unafikiri atakubali kujitia kitanzi? Akitoa agizo kifungu hicho kiondolewe tutalalamika ameingilia bunge?

Raisi anayo nafasi yake ya kikatiba ya kukataa sheria au vifungu katika sheria. Anatakiwa avitumie hivyo vifungu na siyo kutoa amri mabadiliko yafanyike. Kama hili limeongelewa mitandaoni na akazibuka angetumia taratibu aliyopewa na katiba na siyo kutumia taratibu ambayo anakatazwa na katiba kuinjgilia mihimili mingine. Kwa wale MACHADEMA kuweni waangalifu kushangilia bila kufanya "critical analysis" ya mnachokishangilia. Kama ninyi ni waumini wa kufuata katiba ama hii au ile mnayodai, cha muhimu kwenu ni kuifuata katiba na siyo kuingia kwenye mitego midogo kama hii. Mimi nakubaliana na yule aliesema raisi SSH anatafuta kiki na sifa ndogondogo bila kugundua athari zake za uvunjivu wa katiba aliyoapa kuisimamia na kuitii. Katiba inamtaka asiingilie mihimili mingine (bunge/parliament na mahakama/judiciary).
Mpuuzi wewe fuata katiba na mumeo, kuna mtu anafuata katiba nchi hii?
 
Mama nimekupenda bure. Umefanya kitu kizuri maana hiki kipengele kilikuwa kimehalalisha ugaidi wa polisi dhidi ya kila mtu ukiwemo wewe mama hangaya. Heko muheshimiwa karibu kwangu update chai kesho hapa buseresere
Bila ya watu kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii angenyamaza huyo
 
Back
Top Bottom