Kipengele cha kuwabeba Polisi wasishtakiwe katika Muswada mpya chafutwa na Serikali

Wabunge ni mapoyoyo tu!Si ndio wao walipitisha tozo,kikokotoo?Wao wanajua jambo linaloletwa na serikali kazi Yao ni kusema ndiooooooo!
Taarifa ya AG inasema serikali imeamua kufuta kipengele chote Cha 47!
Kwa akili Yako serikali ni Bunge?
Kwani tozo zina shida gani? Kazi ya tozo hii hapa 👇



 
Naelewa unachokisema na nakubaliana na hoja yako ila uhalisia utazamwe.
 

 
Huyu Mama anakuja vvizuri.

Mbowe tu ndo anamuangusha.
Unapaswa kujiuliza kilipitaje kwenye baraza la mawaziri.
Yaani waandae wenyewe, wapeleke bungeni kipitishwe alafu wake kukifuta wenyewe. Hapo nani.mwenye tatizo?
 
Serikali imefuta Ibara ya 24 iliyokuwa inapendekeza kifungu kipya 47A kwa lengo la kutoa mamlaka kwa polisi kufanya operesheni za kificho kwa madhumuni ya kuzuia utendaji wa makosa.
Tuache Uhuni wa kishamba kwani ni nani alipendekeza kuwepo kwa hicho Kipengele?
 
Bunge la hovyo sana hili.
 
Na aliyelete huo muswaada inatakiwa ashughulikiwe, police bila kubanwa si watamaliza watu. Hao kuua mtu kisa pesa na kumsingizia ni jambazi ni kitu cha kawaida na kumbuka wengi wao awajatoka kwenye misingi ya maadili ya utu.
 
mama kama naanza kumuelewa hivi ?

kwa hio sasa hivi polisi akifanya fyongo unapita naye kama kawaida eh ? 🤔
 


Maelezo yako ni mengi lakini hayana maana yoyote, kwa taarifa yako wabunge zaidi ya 80% wako kwa maagizo ya rais na sio kwa ridhaa ya wananchi. Hao wahuni wa hivyo wana lipi la kupingana na rais? Unasema rais asiingilie mihimili, ni mara ngapi anaingilia na inafahamika, au kwakuwa kwenye hili kakuondolea mwanya wa kuua watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…