Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Muda ninao tena wa kutosha tu wa kuweza kusimamiaKama una muda wa kutosha wa kueza kusimamia ufyetuaji nakushauri ufyetue mwenyewe kwa milioni 2 unaweza fyetua mpaka tofali 2500 mpk 2700
Kufyatua ni best option maana utapata matofali ya ubora unaotaka na kwa uhakika 100%
Mtaji wa hili ni MUDA tu.
Kununua n labda kwa kazi ndogo ndogo,ila kazi kubwa kama kupandisha nyumba,Fensi,nk (Fyatua mkuu).
Nunua. Ili kufyatua tofali 2500 unahitaji mifuko 100 ya cementi. Kama mfuko wa cementi ni 16-18,000/= *100 = 1,800,000/ lori za mchanga 14 @80000/= maji ya kufyatulia na kunyeshea lita 20,000, fundi wa kufyatua tofali@200/= kwa tofali. Piga hesabu uone wapi parefu. Bado fundi hajakuibia cementiMuda ninao tena wa kutosha tu wa kuweza kusimamia
Nunua. Ili kufyatua tofali 2500 unahitaji mifuko 100 ya cementi. Kama mfuko wa cementi ni 16-18,000/= *100 = 1,800,000/ lori za mchanga 14 @80000/= maji ya kufyatulia na kunyeshea lita 20,000, fundi wa kufyatua tofali@200/= kwa tofali. Piga hesabu uone wapi parefu. Bado fundi hajakuibia cementi
Basically unafuu upo kwenye kufyatua mwenyewe thats why kuna watu wanafyatua na kuuza na bado wanapata faida kubwa na maendeleo yao tunayona mkuu, Okoa pesa mkuuNunua tu kidogo kidogo, kufyatua ni kazi, kuna kumwagia maji matofali, ukikosea unadhoofisha uimara wa tofali. Ukoa muda wako kwa kufanya shughuli nyingine za maendeleo.
Wananunua cementi nyingi kwa bei ya jumla, na wanaletwa hadi site bure.Sasa wale wa kuuza wanapataje faida ikiwa cement mifuko yote hiyo plus gharama zingine?
kaka hii hesabu umeitoa wapiNunua. Ili kufyatua tofali 2500 unahitaji mifuko 100 ya cementi. Kama mfuko wa cementi ni 16-18,000/= *100 = 1,800,000/ lori za mchanga 14 @80000/= maji ya kufyatulia na kunyeshea lita 20,000, fundi wa kufyatua tofali@200/= kwa tofali. Piga hesabu uone wapi parefu. Bado fundi hajakuibia cementi
Hata mimi niko kwa hiyo dilemma nahitaji tofali nyingi sana ..nipo na miezi miwili tu kujenga nyumba ya ghorofa moja . Likizo yangu ni miezi miwiliHabari Wana ujenzi, nilikua naomba ufafanuzi kati ya kununua Tofali za block kutoka kiwandani na kupeleka site na kununua Material na kupeleka site na kufyatua pale pale site
Mfano kama nina million 2 hapo nikinunua Tofali kiwandani napata Tofali 2000 mpaka site je nikifyatua mwenyewe naweza kupata Tofali ngapi,?
Morogoro. Kwa marangu lori ya mchanga ni zaidi ya 170,000/=kaka hii hesabu umeitoa wapi
Mfuko mmoja tofali 25???? Hizo ni tofali za kisima au foundation ya ghorofa?Nunua. Ili kufyatua tofali 2500 unahitaji mifuko 100 ya cementi. Kama mfuko wa cementi ni 16-18,000/= *100 = 1,800,000/ lori za mchanga 14 @80000/= maji ya kufyatulia na kunyeshea lita 20,000, fundi wa kufyatua tofali@200/= kwa tofali. Piga hesabu uone wapi parefu. Bado fundi hajakuibia cementi
Sasa wale wa kuuza wanapataje faida ikiwa cement mifuko yote hiyo plus gharama zingine?
Tofali za msingi ziwe hafifu (30/bag) kuliko za kuta (25/bag)?Tumia Msingi
Mfuko 1 wa Cement tofali 30
Kuta Mfuko mmoja wa Cement tofali 25.
Hakikisha unatumia mchanga wa kuchimba na sio mchanga wa mtoni.
Mwagilia maji ya kutosha.
poleni sanaaaMorogoro. Kwa marangu lori ya mchanga ni zaidi ya 170,000/=
35....Tofali za msingi ziwe hafifu (30/bag) kuliko za kuta (25/bag)?