Kipi Bora kati ya kununua Tofali na kufyatua mwenyewe

Kipi Bora kati ya kununua Tofali na kufyatua mwenyewe

Daah ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ hii ratio ya mfuko mmoja wa cement kwa tofali 25 ni kwa public constructions hasahasa majengo ya serikali ukitumia hii kwenye nyumba zetu za vyumba vitatu ni kujiongezea gharama tu
Daah ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ hii ratio ya mfuko mmoja wa cement kwa tofali 25 ni kwa public constructions hasahasa majengo ya serikali ukitumia hii kwenye nyumba zetu za vyumba vitatu ni kujiongezea gharama tu
Tofali zina viwango vyake ,
Zina "grades"
Hakuna grade inayoitwa nyumba ya serikali a tank au foundation.
Mleta thread hakutaka yote hayo.
Atengeneze mwenyewe kiwango atakacho wenza.asiulize taaluma.
Atachajiwa.
 
Ni heri ufyatue na ukasimamia mwenyewe, na utasave pesa nyingi.......wauza matofali wengi wababaishaji, kuna mchagga mmoja anafyatua tofali aisee ni hatari, mchanga mwingi cement ni chache. Wanaonunua kwake anawauza vizuri mno
 
Kama maji ulipo yanapatikana kirahisi fyatua mwenyewe...mimi nilifyatua mwenyewe tofali elfu 3,,mfuko mmoja walikuwa wanatoa tofali 30 na garama ya tofali moja ni sh 200
Ulitumia mashine au manual?
 
Nimeona hapo kuna mtu ka comment ni bora ufyatue mwenyewe yatakuwa imara,hivi tofali zaidi ya 3000 unawezaje kuwa unasimamia kila siku kuhakikisha ratio inakuwa sawa,mafundi wenyewe ni hawa mafundi maiko, tena anaweza akaweka ratio za hovyo kuliko hata yale ya kununua,mi wacha tu ninunue....
 
Je kama kufyatua kwa ajili ya tenda serikalini inashauri ratio gani nzuri?
 
Back
Top Bottom