Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka balaa kwa jinsi ulivyomsanua
Nakupa laivu mwana, bora ufyatue mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka balaa kwa jinsi ulivyomsanua
Nipo ninakusanya maoni ila mpaka sasa bado sijapata kibu muafakaWajenzi tunabishana tu ila mtoa mada hata hayupo
Mkuu hesabu hii haiwahusu wauzaji, au wanafidia gharama kwenye ubora wa tofali zao?Nunua. Ili kufyatua tofali 2500 unahitaji mifuko 100 ya cementi. Kama mfuko wa cementi ni 16-18,000/= *100 = 1,800,000/ lori za mchanga 14 @80000/= maji ya kufyatulia na kunyeshea lita 20,000, fundi wa kufyatua tofali@200/= kwa tofali. Piga hesabu uone wapi parefu. Bado fundi hajakuibia cementi
Mbona muda wakutosha kabisa huo....kama 200 million ipo kwa shati nipe tenda hiyo kisimamisha mjengoHata mimi niko kwa hiyo dilemma nahitaji tofali nyingi sana ..nipo na miezi miwili tu kujenga nyumba ya ghorofa moja . Likizo yangu ni miezi miwili
Sema Beckhouse yule wa pure advanced mathematics.Kwenye kitabu nelkon cha physics
Aisee nunua ,utakuja kunishukuru.Habari Wana ujenzi, nilikua naomba ufafanuzi kati ya kununua Tofali za block kutoka kiwandani na kupeleka site na kununua Material na kupeleka site na kufyatua pale pale site.
Mfano kama nina million 2 hapo nikinunua Tofali kiwandani napata Tofali 2000 mpaka site je nikifyatua mwenyewe naweza kupata Tofali ngapi,?
Mkoa gan huu mnaoibiwa hiviNunua. Ili kufyatua tofali 2500 unahitaji mifuko 100 ya cementi. Kama mfuko wa cementi ni 16-18,000/= *100 = 1,800,000/ lori za mchanga 14 @80000/= maji ya kufyatulia na kunyeshea lita 20,000, fundi wa kufyatua tofali@200/= kwa tofali. Piga hesabu uone wapi parefu. Bado fundi hajakuibia cementi
Mifuko 100 tofali 2500 manake mfuko mmoja tofali 25, hiyo ni ratio yako tu mkuu. Tanzania hii huwezi pata tofali za kiwango hicho na wauzaji wasingekuuzia tofali kwa shilingi 900 mpaka 1200. Minimum kwa tofali za mtaani ni tofali 45 kwa mfuko. Fuso hizi size ya kati moja inafyatua mifuko 7, kama ana muda na upatikanaji wa mchanga ni rahisi afyatue. Kwa vyovyote vile atakuwa na faida na si hasara, kwa mifuko Mia moja lazima atafunga kazi na tofali 4700 au zaidi. Make kuna wakati watazidisha kidogo mchanga hivo utakuta kila mfuko unapata tofali 2 au 3 ziada. Cha msingi maji asubuhi na jioni kwa siku 7Nunua. Ili kufyatua tofali 2500 unahitaji mifuko 100 ya cementi. Kama mfuko wa cementi ni 16-18,000/= *100 = 1,800,000/ lori za mchanga 14 @80000/= maji ya kufyatulia na kunyeshea lita 20,000, fundi wa kufyatua tofali@200/= kwa tofali. Piga hesabu uone wapi parefu. Bado fundi hajakuibia cementi
Uko sahihi, binafsi huwa nafyatulisha mwenyewe.Mifuko 100 tofali 2500 manake mfuko mmoja tofali 25, hiyo ni ratio yako tu mkuu. Tanzania hii huwezi pata tofali za kiwango hicho na wauzaji wasingekuuzia tofali kwa shilingi 900 mpaka 1200. Minimum kwa tofali za mtaani ni tofali 45 kwa mfuko. Fuso hizi size ya kati moja inafyatua mifuko 7, kama ana muda na upatikanaji wa mchanga ni rahisi afyatue. Kwa vyovyote vile atakuwa na faida na si hasara, kwa mifuko Mia moja lazima atafunga kazi na tofali 4700 au zaidi. Make kuna wakati watazidisha kidogo mchanga hivo utakuta kila mfuko unapata tofali 2 au 3 ziada. Cha msingi maji asubuhi na jioni kwa siku 7
Mkuu nina site mwembe mdogo nataka nianze ujenzi mwakani Mungu akipenda. Unaweza nipa mwongozo zaidi? Au pia kuni link na hao mafundi waliofyatua tofaliKama eneo ni zuri kama kule kigambon mwembe mdogo mchanga unatoa hapo hapo site kisha utalipa pesa ya yfyatuaji maana majinbure yapo tele nikifyatua matofali 2400 kwa mifuko 80 ya sement kila mfuko mmoja ni tofali 30 jumla ya gharama nilitumia ni 901500.mifuko 40 ya mwanzo mafundi niliwapa 180000 na mifuko ya 40 ya mwisho nayo hivyohivyo nilsimamia mwenyewe maji nilichota mwenyewe kupanga mataofali nikisaidiana na mafundi.kumwagilia ni mimi mwenyewe
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nunua tofaliHabari Wana ujenzi, nilikua naomba ufafanuzi kati ya kununua Tofali za block kutoka kiwandani na kupeleka site na kununua Material na kupeleka site na kufyatua pale pale site.
Mfano kama nina million 2 hapo nikinunua Tofali kiwandani napata Tofali 2000 mpaka site je nikifyatua mwenyewe naweza kupata Tofali ngapi,?
Mkuu upo rightUnakimbia gharama kwa kufata kitu kisicho na ubora?!
Ni bora aumie mara 1 kuliko kujitia unaepuka gharama sasa hivi upandishe nyumba hata kabla hujaamia Nyufa zishaanza tokelezea.
Sishauri mtu anunue tofali kbsa za kujenga nyumba ya Kuishi (otherwise ununue tofali sehemu rasmi (viwandani) ambazo tofali zao zimethibitishwa UBORA wake) Sio hayo matofali huko mitaani mtu kajinunulia tu mashine/vibao tyr anafyatua.. (hamna matofali huko)
Kitu bora lazima ni gharama hamna kitu Bora cha bei rahisi, Hata mtoa hii thread analielewa hilo.
Ukweli kabisa, ratio ni mbovu sana!Wana mashine za kisasa lakini ratio yao ya cement ni MBOVU..tena MBOVU MBOVU MBOVU.
Kama maji ulipo yanapatikana kirahisi fyatua mwenyewe...mimi nilifyatua mwenyewe tofali elfu 3,,mfuko mmoja walikuwa wanatoa tofali 30 na garama ya tofali moja ni sh 200Habari Wana ujenzi, nilikua naomba ufafanuzi kati ya kununua Tofali za block kutoka kiwandani na kupeleka site na kununua Material na kupeleka site na kufyatua pale pale site.
Mfano kama nina million 2 hapo nikinunua Tofali kiwandani napata Tofali 2000 mpaka site je nikifyatua mwenyewe naweza kupata Tofali ngapi,?
Daah 😁😁😁 hii ratio ya mfuko mmoja wa cement kwa tofali 25 ni kwa public constructions hasahasa majengo ya serikali ukitumia hii kwenye nyumba zetu za vyumba vitatu ni kujiongezea gharama tuNunua. Ili kufyatua tofali 2500 unahitaji mifuko 100 ya cementi. Kama mfuko wa cementi ni 16-18,000/= *100 = 1,800,000/ lori za mchanga 14 @80000/= maji ya kufyatulia na kunyeshea lita 20,000, fundi wa kufyatua tofali@200/= kwa tofali. Piga hesabu uone wapi parefu. Bado fundi hajakuibia cementi
Jamaa hajasema matofali ya kununua hayana ubora.Kufyatua ni best option maana utapata matofali ya ubora unaotaka na kwa uhakika 100%
Mtaji wa hili ni MUDA tu.
Kununua n labda kwa kazi ndogo ndogo,ila kazi kubwa kama kupandisha nyumba,Fensi,nk (Fyatua mkuu).