CHIEF MASALAKULANGWA
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 794
- 648
Hata akiamua kufyatua ATAGAWANA RIZIKI na huyo fundi mfyatuaji na kibarua wake au siyo! Natamani aje fundi mwenye data na facts on this issue! Ni kitu kinafikirisha na kina faida sana kwa future house owners! Kidadavueni kwa makini wana JF.Ukitaka akufyatua mwenyewe hiyo 2M itatoa tofari nyingi zaidi kuliko utaza nunua but je, una muda? Mafundi hawachelewi kukupiga, atakuibia cement halafu mfuko 1 anatoa tofari 50 and hence ubora unakua HAFIFU sana; gawana riziki na wengine, kanunue. Huo ndio ushauri wangu
Bora kufyatua mwenyewe pia gharama ni ndogo kuliko kununua pia uboraHabari Wana ujenzi, nilikua naomba ufafanuzi kati ya kununua Tofali za block kutoka kiwandani na kupeleka site na kununua Material na kupeleka site na kufyatua pale pale site
Mfano kama nina million 2 hapo nikinunua Tofali kiwandani napata Tofali 2000 mpaka site je nikifyatua mwenyewe naweza kupata Tofali ngapi,?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka balaa kwa jinsi ulivyomsanuaWale wasikie tu.
Mfuko mmoja wa cement unatoa tofali 50
Kama eneo ni zuri kama kule kigambon mwembe mdogo mchanga unatoa hapo hapo site kisha utalipa pesa ya yfyatuaji maana majinbure yapo tele nikifyatua matofali 2400 kwa mifuko 80 ya sement kila mfuko mmoja ni tofali 30 jumla ya gharama nilitumia ni 901500.mifuko 40 ya mwanzo mafundi niliwapa 180000 na mifuko ya 40 ya mwisho nayo hivyohivyo nilsimamia mwenyewe maji nilichota mwenyewe kupanga mataofali nikisaidiana na mafundi.kumwagilia ni mimi mwenyeweNunua. Ili kufyatua tofali 2500 unahitaji mifuko 100 ya cementi. Kama mfuko wa cementi ni 16-18,000/= *100 = 1,800,000/ lori za mchanga 14 @80000/= maji ya kufyatulia na kunyeshea lita 20,000, fundi wa kufyatua tofali@200/= kwa tofali. Piga hesabu uone wapi parefu. Bado fundi hajakuibia cementi
Mchana wa mtoni upoje mkuu au unashida ipiTumia Msingi
Mfuko 1 wa Cement tofali 30
Kuta Mfuko mmoja wa Cement tofali 35.
Hakikisha unatumia mchanga wa kuchimba na sio mchanga wa mtoni.
Mwagilia maji ya kutosha.
Wauzaji wengi wa tofali siku hizi wana mashine za kisasa zenye uwezo mkubwa wa kuchanganya simenti, mchanga na maji. Pia wana umwagiliaji mzuri wa tofali ili kuzikomaza. Je wewe unazo hizo mashine au utakodisha?? Au utatumia kibao?Basically unafuu upo kwenye kufyatua mwenyewe thats why kuna watu wanafyatua na kuuza na bado wanapata faida kubwa na maendeleo yao tunayona mkuu, Okoa pesa mkuu
Unakimbia gharama kwa kufata kitu kisicho na ubora?!Nunua. Ili kufyatua tofali 2500 unahitaji mifuko 100 ya cementi. Kama mfuko wa cementi ni 16-18,000/= *100 = 1,800,000/ lori za mchanga 14 @80000/= maji ya kufyatulia na kunyeshea lita 20,000, fundi wa kufyatua tofali@200/= kwa tofali. Piga hesabu uone wapi parefu. Bado fundi hajakuibia cementi
Kama unavyo sema economically is weath kufyatua mwenyewe but uwe na muda wa ku supervise, kama muda upo ata save pesa kidogo tu but kama muda hana basi labda mkewe awe karibu kwa uangalizi otherwise i will recomend kununua. Mafundi wengi sio waaminfu im telling you, nimejenga nyumba kadhaa, najua ninacho kisemaHata akiamua kufyatua ATAGAWANA RIZIKI na huyo fundi mfyatuaji na kibarua wake au siyo! Natamani aje fundi mwenye data na facts on this issue! Ni kitu kinafikirisha na kina faida sana kwa future house owners! Kidadavueni kwa makini wana JF.
Wana mashine za kisasa lakini ratio yao ya cement ni MBOVU..tena MBOVU MBOVU MBOVU.Wauzaji wengi wa tofali siku hizi wana mashine za kisasa zenye uwezo mkubwa wa kuchanganya simenti, mchanga na maji. Pia wana umwagiliaji mzuri wa tofali ili kuzikomaza. Je wewe unazo hizo mashine au utakodisha?? Au utatumia kibao?
Nashukuru sana mkuuNakushauri kanunue tu mdogo wangu achana na ishu za kufyatua uta compromise na ubora
Tofali za kufyatua peke yako nguvu ya ushindiliaji wake haifikii hata nusu ya nguvu ya mashine ya umeme.Unakimbia gharama kwa kufata kitu kisicho na ubora?!
Ni bora aumie mara 1 kuliko kujitia unaepuka gharama sasa hivi upandishe nyumba hata kabla hujaamia Nyufa zishaanza tokelezea.
Sishauri mtu anunue tofali kbsa za kujenga nyumba ya Kuishi (otherwise ununue tofali sehemu rasmi (viwandani) ambazo tofali zao zimethibitishwa UBORA wake) Sio hayo matofali huko mitaani mtu kajinunulia tu mashine/vibao tyr anafyatua.. (hamna matofali huko)
Kitu bora lazima ni gharama hamna kitu Bora cha bei rahisi, Hata mtoa hii thread analielewa hilo.
Mkuu kinachohitajika ni hizo tofali zifikie minimum compression strength basi haijalishi zimefyetuliwa kwa machine au manually (binadamu), Pia inatakiwa ikumbukwe kuwa strength ya hizo tofali inaambatana na factors kama ratio, curing n.k .Tofali za kufyatua peke yako nguvu ya ushindiliaji wake haifikii hata nusu ya nguvu ya mashine ya umeme.
Mfyatuaji wa kutumia mashine ya kushindilia kwa mkono nguvu ya ushindiliaji inapungua with time kutokana na kuchoka, lakini mashine ya umeme nguvu iko constant.
Hata hivyo uchaguzi ni wako: kufyatua mwenyewe au kununua
Tufanye umeshinda boss. Ila kwenye ujenzi wewe bado folena sana. Ila siku ukipata uwezo kujenga au kua na karakana ya utengenezaji wa tofali. Nitafute nikupe ushauri na mbinu bora katka sekta hiiKwa kua hujajenga Ungepita kimya kimya tu
Kama hujui kitu usiwe unachangia ndugu.. Zaidi ya hapo utaonekana kitukoTofali za kupiga kwa mkono hazishindiliwi vizuri kama za umeme, hivyo kufyatua zaidi ya 25 ni mchanga tu
Kwa hiyo kushindilia kwa mkono kunaweza kufikia compression strength inayotakiwa consistently kwa tofali la kujengea nyumba?Mkuu kinachohitajika ni hizo tofali zifikie minimum compression strength basi haijalishi zimefyetuliwa kwa machine au manually (binadamu), Pia inatakiwa ikumbukwe kuwa strength ya hizo tofali inaambatana na factors kama ratio, curing n.k .
Tukisema mtu ufyatue tofali zako haina maana tofali za kufyatua lazima utumie mashine za analog mkuu.Tofali za kufyatua peke yako nguvu ya ushindiliaji wake haifikii hata nusu ya nguvu ya mashine ya umeme.
Mfyatuaji wa kutumia mashine ya kushindilia kwa mkono nguvu ya ushindiliaji inapungua with time kutokana na kuchoka, lakini mashine ya umeme nguvu iko constant.
Hata hivyo uchaguzi ni wako: kufyatua mwenyewe au kununua