Kipi bora kati ya kuwa na mahusiano na kuishi single?

Kipi bora kati ya kuwa na mahusiano na kuishi single?

Kwenye mahusiano kama ukipata mtu ambaye unampenda anakupenda mnaaminiana na kuendana Raha sana unaweza hisi we ni adamu na ye Hawa mmefufuka

Ila ukiangukia kwenye mikono ya kina Irene kudadake utamuonea wivu aliye single
 
Natamani kuwa single ila upwiru unakaba rohoo sijui nimekujibu
 
1 Wakorintho 7:8-9
[8]Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.
[9]Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.

Maneno ya Paulo.
 
Back
Top Bottom