Kipi bora kati ya kuwa na mahusiano na kuishi single?

Kipi bora kati ya kuwa na mahusiano na kuishi single?

Kwa wanawake wa namna hii (kikosi Cha mizinga) nadhani jibu ushalipata mtoa mada
Screenshot_20250910-091603.png
 
Wakuu nilikuwa na uliza kati ya kuwa na mahusiano na kuishi single.kipi bora kwako?
Ubora katika nyanja ipi na kwa jinsia ipi. mfano kwenye suala la kiuchumi kwa mwanaune ni bora kuwa single, kwa mwanamke ni bora kuwa kwenye mahusiano. Mwanaume ana-save hela yake akiwa single. Mwanamke ana-save hela yake akiwa kwenye mahusiano
 
Duh niko njia panda nice nisioe!
 
  • Sio mpango wa Muumba wewe uishi single.
  • Tafakari unakwama wapi?
Uongooo!

Mbna huyo muumba, mwanae wa pekee tena dume lijari alikua bachela na single hadi anatwaliwa kwenda mawinguni?
Inakuaje hapo? 😂😂😂😂
 
Kuna mauaji mengine hukumu itajulikana huko kwa Jah ( km ni believer)

Nisanue nikusaidie, niko serious.
Heeeee kumbe we mwanamke ni muuwaji? Nimechoukaaaaaa

Fullstop, kwishaaaaaaaaaa
 
Kuwa single mmh naenjoy sana nikiwa ninapenda yan kumpenda mtu kwangu ni furaha na ikitokea nimkuwa single huwa sichukulii hasira natulia then napenda tena 😂😂😂
 
Kuwa single mmh naenjoy sana nikiwa ninapenda yan kumpenda mtu kwangu ni furaha na ikitokea nimkuwa single huwa sichukulii hasira natulia then napenda tena 😂😂😂
Wow so good, ni vema kukubali matokeo , unajipanga upya

Fullstop, kwishaaaa
 
Wow so good, ni vema kukubali matokeo , unajipanga upya

Fullstop, kwishaaaa
Sinaga kumpa mtu laana wala kujilaani sijui mapenz ni nn sina huo muda naangalia tu wap nimefeli baada ya hapo maisha yanaendelea
 
Ndoa hazina maana sababu mahusiano hayajengwi kwenye ile misingi ya kujaliana,kuheshimiana na kuthaminiana kwenye nyakati zote za raha na matatizo.

Wanaume wengi kwenye mahusiano tunachofuata ni ngono,wanawake wengi wao wanacho angalia hela, ukiteteleka anakupiga chini.
 
Back
Top Bottom