Kipi bora kati ya kuwa na mahusiano na kuishi single?

Mbona una cheka mkuu😂
Jamaa unapinga sana ndoa, kwa 90% nakuona upo sahihi.

Majuzi nilikaa na jamaa fulani ofisini, yeye alikuja kutembea kutoka ofisi nyingine. Ameoa mke yupo bandari, jamaa ni 30's.

Anasema kama kuna kitu hawezi mshauri kijana yeyote yule hapa duniani, ni NDOA. Aliongea kwa hisia sana.

Sana sana alisema anashauri tu kijana ajijenge sana kimaisha, basi.
 
Eminem ana kwambia "maybe stan this isn't my cup of tea"

Sipendi wanawake tu, napenda wanawake wazuri wanao jipenda na kujiheshimu sio wa simu na gari by fa.
 
0e12546b50aa1f0f4e2a8ad8aee6fbc9.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Okk
Back
Top Bottom