Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Toa maoni rafikiš¤£Hahahaha,mie Sina maoni ktk hili
Toa maoni rafikiš¤£Hahahaha,mie Sina maoni ktk hili
Sina Maoni , ya single Wala doubleToa maoni rafikiš¤£
Itakuwa una ya tripleSina Maoni , ya single Wala double
Hahahaha, najiachia tuItakuwa una ya triple
Mkuu Mr dentamol anakufanya nini? Tuachane na hali ya uchumi anakupa uume wake kweli?Aisee laiti ningejua nisingeolewa...nilikua na hatua 5 ya maisha now nimerudi 0
Huyu kungekua hakuna hukumu ya kuua ningemuua kwa mikono yanguMkuu Mr dentamol anakufanya nini? Tuachane na hali ya uchumi anakupa uume wake kweli?
Atoto!!!!š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£
Kwani makaveli10 anasemaje?
Kama unaweza kuhimili upwiru bora kukaa single. Kwa sasa ndoa ina faida chache sana kwa mwanaume. Kimsingi ni kama kuweka rehani furaha yako maishani.1 Wakorintho 7:8-9
[8]Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.
[9]Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.
Maneno ya Paulo.
Wote Mkiwa na akili timamu hamtadumu. Inatakiwa mmoja au wote muwe wendawazimu yaani msiwe na akili kabisa mnapokuwa pamoja.Mahusiano muhimu kama wote mna akili timamu
Bora mimi nimejibebea single maza hata tukizinguana lawama atabeba yeye. Jamii itanionea huruma.Bora kuwa single, kuanza kujipa presha saa hii mtoto wa mtu yuko wapi ni kuichosha akili..!!
Umegundua code adimu sana hiyo mkuuBora mimi nimejibebea single maza hata tukizinguana lawama atabeba yeye. Jamii itanionea huruma.
Umetaja bandari nimemkumbuka jamaa yangu na yeye ni mfanyakazi wa bandari alioaga mapema ila huwa anasema kama uko single usioe. Imagine jamaa kaoa binti wa kiongozi mkubwa wa dini lakini anajutia.Jamaa unapinga sana ndoa, kwa 90% nakuona upo sahihi.
Majuzi nilikaa na jamaa fulani ofisini, yeye alikuja kutembea kutoka ofisi nyingine. Ameoa mke yupo bandari, jamaa ni 30's.
Anasema kama kuna kitu hawezi mshauri kijana yeyote yule hapa duniani, ni NDOA. Aliongea kwa hisia sana.
Sana sana alisema anashauri tu kijana ajijenge sana kimaisha, basi.
Na uzuri single maza halazimishi ndoa.Umegundua code adimu sana hiyo mkuu
Nani alikufundisha hiyo kitu?Bora mimi nimejibebea single maza hata tukizinguana lawama atabeba yeye. Jamii itanionea huruma.
Wanakera sana na ombi lao hilo ila huwa tunawaangalia tu kama katuniNa uzuri single maza halazimishi ndoa.
Kiukweli ndoa ni mzigo mzito kwa mwanaume. Faida kuu ni kupata watoto tu lakini nje ya hapo ni changamotoWanakera sana na ombi lao hilo ila huwa tunawaangalia tu kama katuni
Halafu unakuta kwao na mwanamke wanatuektia kama vile mabinti zao ni watakatifu sana huku wanajua kuwa ni uozo mtupu..Kiukweli ndoa ni mzigo mzito kwa mwanaume. Faida kuu ni kupata watoto tu lakini nje ya hapo ni changamoto
Ni kweli mkuu, mimi jamaa ananiambia kabisa hawezi mshauri kijana wa kiume kuoa.Umetaja bandari nimemkumbuka jamaa yangu na yeye ni mfanyakazi wa bandari alioaga mapema ila huwa anasema kama uko single usioe. Imagine jamaa kaoa binti wa kiongozi mkubwa wa dini lakini anajutia.