Kipi bora kati ya kuwa na mahusiano na kuishi single?

Kosa kubwa vijana wengi Huwa tunawaza ukiwa na demu nikushinda kwenye k, no mambo hayako hivo Kuna muda unavuliwa hata hamu hamna, mahitaji ni mengi sana kwa mwanamke tena kama asipo kupenda, uta tiki tu hata ungekuwa mtoto wa lisuu, kukaa single sio poa labda uwe singo alaf usizini ila kama sho w kama kawa asee Kuna mikosi jamaa kibao sasa wanatia huruma sababu waliendekeza chini Sanaa


Fullstop, kwishaaa
 
1 Wakorintho 7:8-9
[8]Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.
[9]Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.

Maneno ya Paulo.
Kama unaweza kuhimili upwiru bora kukaa single. Kwa sasa ndoa ina faida chache sana kwa mwanaume. Kimsingi ni kama kuweka rehani furaha yako maishani.
 
Umetaja bandari nimemkumbuka jamaa yangu na yeye ni mfanyakazi wa bandari alioaga mapema ila huwa anasema kama uko single usioe. Imagine jamaa kaoa binti wa kiongozi mkubwa wa dini lakini anajutia.
 
Kiukweli ndoa ni mzigo mzito kwa mwanaume. Faida kuu ni kupata watoto tu lakini nje ya hapo ni changamoto
Halafu unakuta kwao na mwanamke wanatuektia kama vile mabinti zao ni watakatifu sana huku wanajua kuwa ni uozo mtupu..
 
Umetaja bandari nimemkumbuka jamaa yangu na yeye ni mfanyakazi wa bandari alioaga mapema ila huwa anasema kama uko single usioe. Imagine jamaa kaoa binti wa kiongozi mkubwa wa dini lakini anajutia.
Ni kweli mkuu, mimi jamaa ananiambia kabisa hawezi mshauri kijana wa kiume kuoa.

Ndoa ni kifungo kizito kwa mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…