Ubora katika nyanja ipi na kwa jinsia ipi. mfano kwenye suala la kiuchumi kwa mwanaune ni bora kuwa single, kwa mwanamke ni bora kuwa kwenye mahusiano. Mwanaume ana-save hela yake akiwa single. Mwanamke ana-save hela yake akiwa kwenye mahusianoWakuu nilikuwa na uliza kati ya kuwa na mahusiano na kuishi single.kipi bora kwako?
Siwezi kusema, nimedokoa nyama ya moto, inaniunguza mdomo π€£ππ€£π€£π€£π€£π€£
Kwani makaveli10 anasemaje?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Siwezi kusema, nimedokoa nyama ya moto, inaniunguza mdomo π€£π
Duh niko njia panda nice nisioe!Ubora katika nyanja ipi na kwa jinsia ipi. mfano kwenye suala la kiuchumi kwa mwanaune ni bora kuwa single, kwa mwanamke ni bora kuwa kwenye mahusiano. Mwanaume ana-save hela yake akiwa single. Mwanamke ana-save hela yake akiwa kwenye mahusiano
ππππAisee laiti ningejua nisingeolewa...nilikua na hatua 5 ya maisha now nimerudi 0
Uongooo!
- Sio mpango wa Muumba wewe uishi single.
- Tafakari unakwama wapi?
Raha ya kuwa single uwe na kampani (mashostito mnaoendana)mambo yanakuwa vyedi vyediπ€π€π€π€
ππππππ
Kuna mauaji mengine hukumu itajulikana huko kwa Jah ( km ni believer)Huyu kungekua hakuna hukumu ya kuua ningemuua kwa mikono yangu
Heeeee kumbe we mwanamke ni muuwaji? NimechoukaaaaaaKuna mauaji mengine hukumu itajulikana huko kwa Jah ( km ni believer)
Nisanue nikusaidie, niko serious.
Wow so good, ni vema kukubali matokeo , unajipanga upyaKuwa single mmh naenjoy sana nikiwa ninapenda yan kumpenda mtu kwangu ni furaha na ikitokea nimkuwa single huwa sichukulii hasira natulia then napenda tena πππ
So una mana hadi sasa uko singoWow so good, ni vema kukubali matokeo , unajipanga upya
Fullstop, kwishaaaa
Sinaga kumpa mtu laana wala kujilaani sijui mapenz ni nn sina huo muda naangalia tu wap nimefeli baada ya hapo maisha yanaendeleaWow so good, ni vema kukubali matokeo , unajipanga upya
Fullstop, kwishaaaa
So hadi sasa upo singoSinaga kumpa mtu laana wala kujilaani sijui mapenz ni nn sina huo muda naangalia tu wap nimefeli baada ya hapo maisha yanaendelea