kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,184
- 3,221
Habari ndugu zangu, nimefikilia kufunga kiyoyozi nyumbani kangiu, kiyoyozi kimoja tu chumbani kwangu, baada ya pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kampuni ya BARIDIBARIDI ambayo inatoa huduma za aina mbili,
HUDUMA YA KWANZA: AC wanakufungia na utalipia awali shillingi 180,000/= baada ya hapo utakuwa unalipia shilling Elfu mbili (2000)/siku gharama za matengenzo zote ni juu yao wenyewe.
HUDUMA YA PILI: wanakukopesha AC kwa makubaliano ya awamu ya kwanza utalipa shilling 180,000/= then baada ya hapo utalipia shilingi 80,000/= kila mwezi ndani ya miaka miwili (2).
SIFA KUBWA AMABAYO WANAJITANABAISHA NAYO WENYEWE NI KUWA: AIR CONDITION ZAO NI IMARA NA ZINADUMU KULIKO AIR CONDITION ZA MAKAMPUNI MENGINE
Mimi niliitaji Aircodition ndogo tu kwaajili ya matumizi ya chumbani, 900BTU au 1200BTU, na nimeulizia kwenye maduka mengi kampuni zenye majina makuwa wanauza 1.1Million - 1.3Million.
Hapa nawaza, niingie kwenye biashara na awa BARIDIBARIDI au nijichange tu mdogo mdogo ninunu AC kwenye maduka na kufunga.
Wenye uelewa mpakana juu ya iyo kampuni na uzoefu aniambie na kunipa ushauri ndugu zangu.