TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,199
- 13,029
Zinakunywa maji?BARIDIBARIDI - wanasema zao hazili umeme sana

Duuh hiyo sio sasa, kwamba ukitaka AC kwa hiyo siku unalipia buku 2.??iyo buku 2 kwa siku umiliki unakuwa sio wako mkuu, unakuwa ni wao na hakuna kikomo
Una elimu kiwango gani?Kama zote ni sawa nenda na hiyo ya mkopo naona ni rahisi hapo jumla ni kama 340000 au?
Bado huna uchumi wa kumiliki air conditioner mkuu. Kwanini unataka ujitutumue kwa mikopo ya kipumbavu na ya kipuuzi kama mwanamke mjinga?ndio mkuu ndio maana natafanya hesabu za air condition hapa
Soma vizuri uelewe ni 80,000 kila mwezi kwa muda wa miaka 2 jumla ni 1,920,000Kama zote ni sawa nenda na hiyo ya mkopo naona ni rahisi hapo jumla ni kama 340000 au?
Kama unafikiria kuwa na AC ya mkopo ni kama unalazimisha kuwa na kitu usichokuwa na uwezo nacho.Habari ndugu zangu, nimefikilia kufunga kiyoyozi nyumbani kangiu, kiyoyozi kimoja tu chumbani kwangu, baada ya pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kampuni ya BARIDIBARIDI ambayo inatoa huduma za aina mbili,
HUDUMA YA KWANZA: AC wanakufungia na utalipia awali shillingi 180,000/= baada ya hapo utakuwa unalipia shilling Elfu mbili (2000)/siku gharama za matengenzo zote ni juu yao wenyewe.
HUDUMA YA PILI: wanakukopesha AC kwa makubaliano ya awamu ya kwanza utalipa shilling 180,000/= then baada ya hapo utalipia shilingi 80,000/= kila mwezi ndani ya miaka miwili (2).
SIFA KUBWA AMABAYO WANAJITANABAISHA NAYO WENYEWE NI KUWA: AIR CONDITION ZAO NI IMARA NA ZINADUMU KULIKO AIR CONDITION ZA MAKAMPUNI MENGINE
Mimi niliitaji Aircodition ndogo tu kwaajili ya matumizi ya chumbani, 900BTU au 1200BTU, na nimeulizia kwenye maduka mengi kampuni zenye majina makuwa wanauza 1.1Million - 1.3Million.
Hapa nawaza, niingie kwenye biashara na awa BARIDIBARIDI au nijichange tu mdogo mdogo ninunu AC kwenye maduka na kufunga.
Wenye uelewa mpakana juu ya iyo kampuni na uzoefu aniambie na kunipa ushauri ndugu zangu.
Kitu Cha milioni unakinunua 2M?Habari ndugu zangu, nimefikilia kufunga kiyoyozi nyumbani kangiu, kiyoyozi kimoja tu chumbani kwangu, baada ya pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kampuni ya BARIDIBARIDI ambayo inatoa huduma za aina mbili,
HUDUMA YA KWANZA: AC wanakufungia na utalipia awali shillingi 180,000/= baada ya hapo utakuwa unalipia shilling Elfu mbili (2000)/siku gharama za matengenzo zote ni juu yao wenyewe.
HUDUMA YA PILI: wanakukopesha AC kwa makubaliano ya awamu ya kwanza utalipa shilling 180,000/= then baada ya hapo utalipia shilingi 80,000/= kila mwezi ndani ya miaka miwili (2).
SIFA KUBWA AMABAYO WANAJITANABAISHA NAYO WENYEWE NI KUWA: AIR CONDITION ZAO NI IMARA NA ZINADUMU KULIKO AIR CONDITION ZA MAKAMPUNI MENGINE
Mimi niliitaji Aircodition ndogo tu kwaajili ya matumizi ya chumbani, 900BTU au 1200BTU, na nimeulizia kwenye maduka mengi kampuni zenye majina makuwa wanauza 1.1Million - 1.3Million.
Hapa nawaza, niingie kwenye biashara na awa BARIDIBARIDI au nijichange tu mdogo mdogo ninunu AC kwenye maduka na kufunga.
Wenye uelewa mpakana juu ya iyo kampuni na uzoefu aniambie na kunipa ushauri ndugu zangu.
1. Kukopa AC ni gharama zaidi kuliko kununua.Habari ndugu zangu, nimefikilia kufunga kiyoyozi nyumbani kangiu, kiyoyozi kimoja tu chumbani kwangu, baada ya pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kampuni ya BARIDIBARIDI ambayo inatoa huduma za aina mbili,
HUDUMA YA KWANZA: AC wanakufungia na utalipia awali shillingi 180,000/= baada ya hapo utakuwa unalipia shilling Elfu mbili (2000)/siku gharama za matengenzo zote ni juu yao wenyewe.
HUDUMA YA PILI: wanakukopesha AC kwa makubaliano ya awamu ya kwanza utalipa shilling 180,000/= then baada ya hapo utalipia shilingi 80,000/= kila mwezi ndani ya miaka miwili (2).
SIFA KUBWA AMABAYO WANAJITANABAISHA NAYO WENYEWE NI KUWA: AIR CONDITION ZAO NI IMARA NA ZINADUMU KULIKO AIR CONDITION ZA MAKAMPUNI MENGINE
Mimi niliitaji Aircodition ndogo tu kwaajili ya matumizi ya chumbani, 900BTU au 1200BTU, na nimeulizia kwenye maduka mengi kampuni zenye majina makuwa wanauza 1.1Million - 1.3Million.
Hapa nawaza, niingie kwenye biashara na awa BARIDIBARIDI au nijichange tu mdogo mdogo ninunu AC kwenye maduka na kufunga.
Wenye uelewa mpakana juu ya iyo kampuni na uzoefu aniambie na kunipa ushauri ndugu zangu.
Chukua Ac ya Hisense - Je utaweza kununua Umeme vizuri? Mimi natumia Hisense Mpya kabisa Toka Mwaka 2022 Mbaka Leo Linadunda kinyama - Tatizo Umeme, usije kununua likaja kugeuka pambo la nyumbaniDaikin Air Conditioners
Chukua Ac ya Hisense - Je utaweza kununua Umeme vizuri? Mimi natumia Hisense Mpya kabisa Toka Mwaka 2022 Mbaka Leo Linadunda kinyama - Tatizo Umeme, usije kununua likaja kugeuka pambo la nyumbani
Habari ndugu zangu, nimefikilia kufunga kiyoyozi nyumbani kangiu, kiyoyozi kimoja tu chumbani kwangu, baada ya pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kampuni ya BARIDIBARIDI ambayo inatoa huduma za aina mbili,
HUDUMA YA KWANZA: AC wanakufungia na utalipia awali shillingi 180,000/= baada ya hapo utakuwa unalipia shilling Elfu mbili (2000)/siku gharama za matengenzo zote ni juu yao wenyewe.
HUDUMA YA PILI: wanakukopesha AC kwa makubaliano ya awamu ya kwanza utalipa shilling 180,000/= then baada ya hapo utalipia shilingi 80,000/= kila mwezi ndani ya miaka miwili (2).
SIFA KUBWA AMABAYO WANAJITANABAISHA NAYO WENYEWE NI KUWA: AIR CONDITION ZAO NI IMARA NA ZINADUMU KULIKO AIR CONDITION ZA MAKAMPUNI MENGINE
Mimi niliitaji Aircodition ndogo tu kwaajili ya matumizi ya chumbani, 900BTU au 1200BTU, na nimeulizia kwenye maduka mengi kampuni zenye majina makuwa wanauza 1.1Million - 1.3Million.
Hapa nawaza, niingie kwenye biashara na awa BARIDIBARIDI au nijichange tu mdogo mdogo ninunu AC kwenye maduka na kufunga.
Wenye uelewa mpakana juu ya iyo kampuni na uzoefu aniambie na kunipa ushauri ndugu zangu.
| 1 | Deposit | 180,000.00 | ||
| 2 | 80,000.00 | X | 24.00 | 1,920,000.00 |
| 2,100,000.00 |
Piga hesabu vizuri, 80k kila mwezi kwa miaka miwili ni tsh.ngapi?Kama zote ni sawa nenda na hiyo ya mkopo naona ni rahisi hapo jumla ni kama 340000 au?