Aisee utawaidisha sana ukipiga hesabu, kwa miaka miwili utakuwa umewalipa 2,100,000/= hao baridi baridi badala ya hiyo 1.3m ungeamua kujichangaHabari ndugu zangu, nimefikilia kufunga kiyoyozi nyumbani kangiu, kiyoyozi kimoja tu chumbani kwangu, baada ya pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kampuni ya BARIDIBARIDI ambayo inatoa huduma za aina mbili,
HUDUMA YA KWANZA: AC wanakufungia na utalipia awali shillingi 180,000/= baada ya hapo utakuwa unalipia shilling Elfu mbili (2000)/siku gharama za matengenzo zote ni juu yao wenyewe.
HUDUMA YA PILI: wanakukopesha AC kwa makubaliano ya awamu ya kwanza utalipa shilling 180,000/= then baada ya hapo utalipia shilingi 80,000/= kila mwezi ndani ya miaka miwili (2).
SIFA KUBWA AMABAYO WANAJITANABAISHA NAYO WENYEWE NI KUWA: AIR CONDITION ZAO NI IMARA NA ZINADUMU KULIKO AIR CONDITION ZA MAKAMPUNI MENGINE
Mimi niliitaji Aircodition ndogo tu kwaajili ya matumizi ya chumbani, 900BTU au 1200BTU, na nimeulizia kwenye maduka mengi kampuni zenye majina makuwa wanauza 1.1Million - 1.3Million.
Hapa nawaza, niingie kwenye biashara na awa BARIDIBARIDI au nijichange tu mdogo mdogo ninunu AC kwenye maduka na kufunga.
Wenye uelewa mpakana juu ya iyo kampuni na uzoefu aniambie na kunipa ushauri ndugu zangu.
Fanya kununua cash tu ikiwa yako unaepuka usumbufu wa mambo mengi, mikopo ya viyoyozi hainatofauti na simu za mkopo au ile bustisha, nivushe au songesha.Umeme mkuu
huo utaratibu wo wa loan, naona ni ghali sana 2.1 MIL😕Habari ndugu zangu, nimefikilia kufunga kiyoyozi nyumbani kangiu, kiyoyozi kimoja tu chumbani kwangu, baada ya pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kampuni ya BARIDIBARIDI ambayo inatoa huduma za aina mbili,
HUDUMA YA KWANZA: AC wanakufungia na utalipia awali shillingi 180,000/= baada ya hapo utakuwa unalipia shilling Elfu mbili (2000)/siku gharama za matengenzo zote ni juu yao wenyewe.
HUDUMA YA PILI: wanakukopesha AC kwa makubaliano ya awamu ya kwanza utalipa shilling 180,000/= then baada ya hapo utalipia shilingi 80,000/= kila mwezi ndani ya miaka miwili (2).
SIFA KUBWA AMABAYO WANAJITANABAISHA NAYO WENYEWE NI KUWA: AIR CONDITION ZAO NI IMARA NA ZINADUMU KULIKO AIR CONDITION ZA MAKAMPUNI MENGINE
Mimi niliitaji Aircodition ndogo tu kwaajili ya matumizi ya chumbani, 900BTU au 1200BTU, na nimeulizia kwenye maduka mengi kampuni zenye majina makuwa wanauza 1.1Million - 1.3Million.
Hapa nawaza, niingie kwenye biashara na awa BARIDIBARIDI au nijichange tu mdogo mdogo ninunu AC kwenye maduka na kufunga.
Wenye uelewa mpakana juu ya iyo kampuni na uzoefu aniambie na kunipa ushauri ndugu zangu.
AC haihitajiki kipindi hiki cha baridi.Habari ndugu zangu, nimefikilia kufunga kiyoyozi nyumbani kangiu, kiyoyozi kimoja tu chumbani kwangu, baada ya pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kampuni ya BARIDIBARIDI ambayo inatoa huduma za aina mbili,
HUDUMA YA KWANZA: AC wanakufungia na utalipia awali shillingi 180,000/= baada ya hapo utakuwa unalipia shilling Elfu mbili (2000)/siku gharama za matengenzo zote ni juu yao wenyewe.
HUDUMA YA PILI: wanakukopesha AC kwa makubaliano ya awamu ya kwanza utalipa shilling 180,000/= then baada ya hapo utalipia shilingi 80,000/= kila mwezi ndani ya miaka miwili (2).
SIFA KUBWA AMABAYO WANAJITANABAISHA NAYO WENYEWE NI KUWA: AIR CONDITION ZAO NI IMARA NA ZINADUMU KULIKO AIR CONDITION ZA MAKAMPUNI MENGINE
Mimi niliitaji Aircodition ndogo tu kwaajili ya matumizi ya chumbani, 900BTU au 1200BTU, na nimeulizia kwenye maduka mengi kampuni zenye majina makuwa wanauza 1.1Million - 1.3Million.
Hapa nawaza, niingie kwenye biashara na awa BARIDIBARIDI au nijichange tu mdogo mdogo ninunu AC kwenye maduka na kufunga.
Wenye uelewa mpakana juu ya iyo kampuni na uzoefu aniambie na kunipa ushauri ndugu zangu.
kweli inabidi ule maisha maana umeupambania sana urithi wako.ndio mkuu ndio maana natafanya hesabu za air condition hapa
Shukrani sana mkuu kwa ushauri wako mzuri, nitaufanyia kazi mungu akubariki.Ushauri wangu wa kwanza, ACHANA KABISA NA HUU MPANGO WA KUFUNGA AC KWA SASA. Kwanini? Inavyoonekana uchumi wako haukuruhusu na pia msukumo wako ni tamaa tu (hamu? Ushamba?) lakini hicho kitu sio uhitaji wako wa lazima kwa hali yako ya maisha ya sasa.
Kabla ya kufunga AC inapaswa utambue kuhusu hizi gharama:
1. Kununua AC yenyewe.
2. Kuboresha mazingira (nyumba au chumba) kwa ajili ya hiyo AC kuja kufungwa.
3. Kuifunga hiyo AC (Installation)
4. Umeme wa kuiendesha hiyo AC
5. Service ya AC (Maintenance&Repair).
PIli, vitu kama hivi sio vya kukimbilia kuvinunua kwa mkopo, tena wakopeshaji wenyewe ni dealers wa bidhaa, na bahati mbaya kuliko zote, brand ya hiyo bidhaa huijui na bidhaa yenyewe huna uzoefu nayo. Huo tunauita ni ujinga, na huo ujinga wako ndio faida kubwa ya hao wauzaji.
Mwisho kabisa, kama wewe ni sikio la kufa (yaani kufa na kupona umedhamiria ni lazima ufunge AC kwa sasa) basi huu ushauri hapa chini;
Wewe nenda kwa mafundi wa Air condition, Dar wapo wengi sana kuanzia hapo Magomeni, Kariakoo, Buguruni, Kinondoni, Mwenge nk.
Pita kwenye ofisi zao, tupia macho huku na huku, jaribu kuuliza mambo mawili matatu kuhusu Bei, ubora, wauzaji, matengenezo, spare na mengineyo kuhusu Air condition. Kuna kitu kikubwa utagundua.