wakubeti
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 562
- 856
Saw a mkuuNitakutafuta nikizichanga...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saw a mkuuNitakutafuta nikizichanga...
Hiyo ni kila kitu usajili na TRA ile gharama zao umeshalipa mana kuna muda ushuru Wa serikali unazidi gharama ya Gari japan
Mkuu hiyo 150-200 sio faida halisi. Kuna uzi nautafuta humu (sikumbuki kama niliusoma humu ama kwingine) jamaa alishusha nondo juu ya biashara hii ya usafirishaji mpka nikafurahi. Hapo utatoa matumizi (mafuta, posho n.k) kuna hela ya services ndogondogo n.k Mambo ni mengi sana hapo bado hujatoa rejesho kwa wahindi. Bado fedha ya uchakavu. Unaweza kujikuta faida kwa siku ni 30-40, hapa haijalishi unalaza hela kiasi gani ikifika kwenye matumizi unaweza kutoa hela yote uliyohifadhi.Hardware inaweza ikanipa 100-150k kwa siku kweli mkuu.
Hardware cement mfuko faida ni 500-1000.
Ninaangalia biashara nitakayotengeneza 150-200 padei. Nimefanya Savei ya biashara nyingi sana na changamoto zake zote.
Asante kwa wazo lako pia
Comment ngumu, ila ina ukweli ndani yakeUna milioni 40 mkuu halafu unataka uwe unaamka saa kumi alfajiri unalala saa sita usiku. Unapiga kelele siku nzima.
Mkuu hebu fikiria mara mbili kama hiyo hela unataka ikusaidie au kukutesa?
Hesabu ya 200k kwa Tata, kuna makubaliano ya mshahara kiongozi na muda wa kulaza gari ni saa 5 au 6, na gari kuamshwa saa 8 au 9, injini haipoi
Ushauri mzuri afungue hardware ya 30m aende benk akope 20m .Lakin mkuu kuna jamaa kakushauri hardware wewe unasema unataka faida kubwa kwa siju, iwe 100k mpaka 150k.
Unaweza ingiza hyo na pesa usiione kutokana na pressure yake. Fanya biashara kwa kiasi cha pesa yako au hatakama unakopa mm sikushauri magari mkuu. Bora hata hyo h/w hatakama utaingiza 50k lakini niyakwako mkuu.
Mkuu, fanya hardware Kama alivokuelekeza jamaa.
Hizo stories za faida jero achana nazo.
Simenti Ina faida ya 1000, ila haikai.
Na Kama uko eneo zuri, kwa siku kuuza mifuko 20- 50 ni kawaida Sana.
Ninaongea kwa uzoefu, Nina Hardware tangu 2015
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ujumla TATA ni bora kuliko EICHER, body ya TATA ni imara sana pia huhimili njia za bongo kuliko EICHER ambazo huchakaa haraka sanaBro mimi sina elimu kuhusu magari huo ndo ukweli..ila nimekua angalau nashuhudia Eicher nyingi hudumu kuliko Tata hasa ishu za mashine(injini) pia kibiashara hupendwa zaidi kuliko TATA hasa kwa abiria wenyewe(Muonekano) na hata wamiliki wenzako pia hata ikija ukitaka kuiuza ni rahisi kuliko TATA.
Nimeshea na kushauri asilimia japo 1 ninayoifahamu
TATA ukipiga shamba hukosi kulaza 300,000/= kwa siku tena huwa gari linapumzika kuliko mikimbizano ya daladala jijini DAR. Ukiweza nenda Morogoro upate route ya Moro - Kisaki ama Moro - Mahenge. Pia route ya DAR to Kisaki ina abiria wa kutoshaKuna jamaa yangu ni anazungusha TATA route kkoo-kisewe mbgala wao wanapeleka 150k,ila kuhudumia TATA bora uchukue eicher spare zake ziko affordable kuliko huyo muhindi TATA.Tafuta coaster ipige route za shamba huko pwani to Dar
Dangote anautajiri wa around 12 bil za kimarekan, ana project ya kisima cha mafuta cha dolla bil 10...kwa zaid ya 80% n pesa yake inatumikaKiuchumi unatakiwa uwekeze asilinia 30 ya ulichonacho, ukiona inaenda enda u naongeza tena 30% then remaining balance 40%.
Sasa wewe unataka uchukue zote uweke kwenye biashara mpya mbaya zaidi na kukopa juu.
Ndugu yangu sikuombei mabaya lakini siku mambo yakibuma usipokuwa kichaa itakuchukua muda sana kuibuka.
Ukiwa na million 6 ukawekeza una uwezo wa kupata 80,000 kwa siku, ukiwekeza mara mbili yake ni 160,000.
Sasa ilichukua hiyo nusu ya pesa yako u nalaza mpaka kilo 3 kwa siku.
Aiseeee ngoja nikomae na ninachokifanya.
Mleta mada achana na hiyo kukopa kuna biashara kibao zina mauzo na faida za kutosha kwa siku unazoweza kutumia hiyo 30m na ukala mema ya nchi.
Kw
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa point yangu naomba soma kwa utulivu utaelewa.Dangote anautajiri wa around 12 bil za kimarekan, ana project ya kisima cha mafuta cha dolla bil 10...kwa zaid ya 80% n pesa yake inatumika
Haya mambo hayanaga formula mkuu, unaweza ukakopa ukapoteza zote. Unaweza usikupoke ukatumia zako bado ukapoteza zote , na kinyume chake
Sent using Jamii Forums mobile app