Kipi bora kuoa mwanamke mwenye mtoto au Mwanamke alotoa mimba?

Kipi bora kuoa mwanamke mwenye mtoto au Mwanamke alotoa mimba?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Nauliza kipi bora hasa

Unakuta mwanamke mwenye mtoto watu wanamkimbia bila kujua faida zake

Ni Bora ambaye Ana mtoto maana kuna muda anakupa matumain kuwa hujaoa mgumba au akizaa watoto awafi

Unamkuta dada mdogo, hajawahi kuzaa, hajaolewa, lakini anatumia uzazi wa mpango. Hapo hapo kashatoa mimba 27 au zaidi! Dada, baadae ukiolewa unaanza kusumbua watumishi wa Mungu wakuombee upate watoto hata hataji Dhambi!

Mbona tunamjaribu Muumba?

Hata ukishika mimba, itakaa
 
Bora mwenye mtoto 100%

Why? Kwasababu anakizazi kizuri utaanzisha familia bila wasiwasi na mtoto uliemkuta ataenda kwababa yake ataishi uko
 
Bora mwenye mtoto 100%

Why? Kwasababu anakizazi kizuri utaanzisha familia bila wasiwasi na mtoto uliemkuta ataenda kwababa yake ataishi uko
Hakika leo ma single mother tunawapa shavuu
 
Na kiporo watakua wanapasha anapoenda kumsalimia mtoto wake
Nani kakwambia kwamba ataruhusiwa kwenda kumsalimia mtoto, inabidi mtoto aje kumsalimia mama kwangu, siyo mama kwenda kumsalimia mtoto kwa baba yake.
 
Hakika leo ma single mother tunawapa shavuu
Wasijisikie wanyonge ni mashujaa kubeba mimba kabla ya ndoa na kuicha si mchezo ukizingatia yupo kwa wazazi wake bado future inaharibika ghafla
 
kwaio unaoa mwanamke used kashazalishwa,baadae anakwambia nampeleka mtt kwa baba yake,anatiwa borooo huko wee anakwambia tulikuwa tunapanga namna ya kumsomesha mtt, bro kuwa makini na hawa wanawake walio zalishwa,asikwambie mtu awali awali hakuna awali mbovu.

Yule alie zaa nae ndo kampenda ww umekuja baada ya wao kulumbana,na hakuna mwanamke atakae sema ukweli kwann ameachika huwez pata jibu milele.SIO OMBI NI HIARI KWA WANAUME WA KIZAZI CHA SASA HIVI OA MWANAMKE UWE WA KWANZA KUMZALISHA UTAISH MAISHA YA AMANI JAPO MAKOSA YATAKUWEPO LAKIN ATAKUHESHIMU NA WW UTAKUWA NDIO KIBOKO YAKE,I MEAN NO ONE LIKE YOU
 
Sina uhakika sana na dunia ya nyuma ilikuwaje! Ila nina uhakika haya unayonena dunia ya nyuma yalikuwa ni yenye kutokea lakini hekima ilitawala sana! Dunia ya sasa hivi haipo hivyo! Kwa asilimia kubwa sana ikiwa mwanaume yeye bado ni mbichi (hajashikisha mimba kwa ke) ushauri wangu asioe mwanamke aliyekuwa na watoto/mtoto ambaye hakuolewa. Ulimwengu wa sasa vichwa maji ni vingi! Kama ni hekima na upendo basi jitambue ni wewe ndiye unazo ila si kwa mwengine.

Kama mwanamke imedhihirika kwako ni aliyekuwa ni mtoaji mimba hiyo tayari ipo wazi hana sifa ya kuwa mke! Ni vizuri kuisikiliza sauti ya akili kuliko ya hisiya! Ila kama haikuthibitika kwako alikuwa ni mwenye skendo za kutoa mimba anza naye safari yatakayojiri mbele utatafuta maarifa mengine jinsi gani ya kukabiliana nayo.
 
Wasijisikie wanyonge ni mashujaa kubeba mimba kabla ya ndoa na kuicha si mchezo ukizingatia yupo kwa wazazi wake bado future inaharibika ghafla
Unajua Bw. Mkubwa wanawake wa sasa sijui ni ajabu ya namna gani imewakumba! Sijui ni kiburi cha elimu, au maadili au hizi fikra za mambo ya usawa au pengine nao wanao uwezo wa kutafuta pesa, yaani ni ajabu gani imewafanya kusau uasilia wao. Vyote akiwa navyo bado haimpunguzii wala haimuongezei kwamba yeye ni mwanamke na hali gani yampaasa awe alivyo kama uasilia wake.

Yamfaa afikirie kwa uzuri kuwa % kubwa ya wanaume haijalishi awe muhuni ama laa!, Ni ngumu sana kuishi na falsafa ambazo wanawake wa sasa wanajifukiza nazo.
 
Umeneno neno muimu kwaiyo wajikubali na kukabiliana na yote maana ni njia waliyochagua
 
Mwanamke ambaye hajatoa mimba ni bora zaidi katika mantiki ya utu. Hana roho ya kuua.

Hawa wa kutoa mimba hawakawii kukupiga ndumba na hata kukuua mkishapata mali maana kuua kwake ni jambo dogo sana.
Unforgetable
 
Usiwahukumu wamama wenye watoto wengine siyo Makosa yao Alimpa mwanaume fulani moyo wake Akaamua kumbebea Mimba kumbe jamaa hakuwa na Mpango nae akammwaga na Mimba yake, Akateseka nayo akazaa akipata wa kumuoa wanakuaga na Heshima sana ila wengine ni Shida.
 
Ndio maana nataka kuoa mwenye mtoto
 
Back
Top Bottom