Kipi bora kuoa mwanamke mwenye mtoto au Mwanamke alotoa mimba?

Nauliza kipi bora hasa

Unakuta mwanamke mwenye mtoto watu wanamkimbia bila kujua faida zake

Ni Bora ambaye Ana mtoto maana kuna muda anakupa matumain kuwa hujaoa mgumba au akizaa watoto awafi

Unamkuta dada mdogo, hajawahi kuzaa, hajaolewa, lakini anatumia uzazi wa mpango. Hapo hapo kashatoa mimba 27 au zaidi! Dada, baadae ukiolewa unaanza kusumbua watumishi wa Mungu wakuombee upate watoto hata hataji Dhambi! Mbona tunamjaribu Muumba? Hata ukishika mimba, itakaa
Inategemea kabila na kabila. Kwenu huwezi kuoa aliyezaa.. Kutoa mimba ni siri , itakuwa speculative hiyo
 
Usiwahukumu wamama wenye watoto wengine siyo Makosa yao Alimpa mwanaume fulani moyo wake Akaamua kumbebea Mimba kumbe jamaa hakuwa na Mpango nae akammwaga na Mimba yake, Akateseka nayo akazaa akipata wa kumuoa wanakuaga na Heshima sana ila wengine ni Shida.

Lazima walaumiwe kwa uhuni walioufanya. Huwezi kuzaa kabla hujaolewa huo ndio umalaya.

Utampaje mtu moyo wako asiyefuata tarayibu za ndoa kama wewe sio mwehu
 
Funika mdomo na pua kwa sehemu ya ndani ya kiwiko cha mkono unapopiga chafya.

Kwa maelezo zaidi Piga 199 au 08001100124 kuongea na muhudumu
 
Nauliza kipi bora hasa

Unakuta mwanamke mwenye mtoto watu wanamkimbia bila kujua faida zake

Ni Bora ambaye Ana mtoto maana kuna muda anakupa matumain kuwa hujaoa mgumba au akizaa watoto awafi

Unamkuta dada mdogo, hajawahi kuzaa, hajaolewa, lakini anatumia uzazi wa mpango. Hapo hapo kashatoa mimba 27 au zaidi! Dada, baadae ukiolewa unaanza kusumbua watumishi wa Mungu wakuombee upate watoto hata hataji Dhambi! Mbona tunamjaribu Muumba? Hata ukishika mimba, itakaa
Oa mwanamke mwema,mwanamke mwenye tabia yule ambaye anajutia alipo kosea, sababu hakuna mkamilifu ila Mola.

Bila kusahau na wewe ujiangalie je una tabia nzuri au kinyume chake, kama huna basi taraji ya kuwa hutapata ila wa mfano wako, hii kanuni haibadiliki.

Ngoja niendelee kuvita uradi. Ahsante.
 
Broo kuoa mwanamke mwenye mtoto ni sawa na kujitafutia matatizo kwa sababu

Usitegeme huyo mtoto uliyemkuta kwa uyo mwanamke akifanikiwa atakuja kukumbuka Mara nyingi wakishafika age kuanzia miaka 27 umeshamsomesha ana elimu yake ana ajira nzuli atamtafuta baba yake mzazi Ili amuonjeshe matunda ya elimu yake ,......

Alafu kibaya zaidi utakuta baba yake mzazi anamwambia nilikuwa nasikia baba yako wa kambo alikuwa anakutesa, anakunyima chakula, anakupiga hovyoo wakati yeee mwenyewe alikuwa hajui unakula nini unalala wapi,nani anakusomesha mpka umefikia hatua hiyoooo

Ila haya maisha jamani MUNGU ANATUONA
Nauliza kipi bora hasa

Unakuta mwanamke mwenye mtoto watu wanamkimbia bila kujua faida zake

Ni Bora ambaye Ana mtoto maana kuna muda anakupa matumain kuwa hujaoa mgumba au akizaa watoto awafi

Unamkuta dada mdogo, hajawahi kuzaa, hajaolewa, lakini anatumia uzazi wa mpango. Hapo hapo kashatoa mimba 27 au zaidi! Dada, baadae ukiolewa unaanza kusumbua watumishi wa Mungu wakuombee upate watoto hata hataji Dhambi! Mbona tunamjaribu Muumba? Hata ukishika mimba, itakaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauliza kipi bora hasa

Unakuta mwanamke mwenye mtoto watu wanamkimbia bila kujua faida zake

Ni Bora ambaye Ana mtoto maana kuna muda anakupa matumain kuwa hujaoa mgumba au akizaa watoto awafi

Unamkuta dada mdogo, hajawahi kuzaa, hajaolewa, lakini anatumia uzazi wa mpango. Hapo hapo kashatoa mimba 27 au zaidi! Dada, baadae ukiolewa unaanza kusumbua watumishi wa Mungu wakuombee upate watoto hata hataji Dhambi!

Mbona tunamjaribu Muumba?

Hata ukishika mimba, itakaa
[/QUOTE
yoyote yule, awe ana mtoto, alitoa mimba au hakutoa mradi tu umpende akupende muelewane
 
Hapo ndio najikuta nipo katika wakati mgumu mpaka Sasa nioe yupi niache yupi maana ule usemi unaosema Ujana NI maji ya Moto Tena ya kusongea ugari naanza kuuona, sometime huwa najikuta Sina amani moyoni kwa Mambo ninayoyasikia kutoka kwa watu wazima
 
History zao zinajulikana ukichunguza na wengine tunawapa sisi hela ya kutoa Mimba
[/QUOTE
Sikushauri uoe MAMA WA MAREHEMU.Japo singo maza nao ni changamoto coz mume mwenzio lazima aongee na mzazi mwenzake.na Kama mazingira yanawaruhusu kuonana kumbuka hawatongozani tena ,ni kutabasamu kidogo na kushikana mikono na kwenda uwanjani kwa seremala.show inaendelea.Labda awe mwanamke stebo sana anaeweza kumuvu on.na akaweka heshima yke na ya kwako.
Hebu fikiri wewe uchumi wako ni tia maji tia maji,halafu mume mwenzio yuko stebo kiuchumi na wanasasiliana.
Hitimisho...usioe mama wa marehemu.kimbia kabisa km umegundua.si afya kiroho na kimaisha.
 
SINGO MAZA MAPENZI YA KWELI HAWANAGA,ATAKUWA NA WEW KUENDESHA MAISHA YAKE
 
Hapo ndio najikuta nipo katika wakati mgumu mpaka Sasa nioe yupi niache yupi maana ule usemi unaosema Ujana NI maji ya Moto Tena ya kusongea ugari naanza kuuona, sometime huwa najikuta Sina amani moyoni kwa Mambo ninayoyasikia kutoka kwa watu wazima
Oa bikra mkuu
 
Nauliza kipi bora hasa

Unakuta mwanamke mwenye mtoto watu wanamkimbia bila kujua faida zake

Ni Bora ambaye Ana mtoto maana kuna muda anakupa matumain kuwa hujaoa mgumba au akizaa watoto awafi

Unamkuta dada mdogo, hajawahi kuzaa, hajaolewa, lakini anatumia uzazi wa mpango. Hapo hapo kashatoa mimba 27 au zaidi! Dada, baadae ukiolewa unaanza kusumbua watumishi wa Mungu wakuombee upate watoto hata hataji Dhambi!

Mbona tunamjaribu Muumba?

Hata ukishika mimba, itakaa
Vipi akiwa ni singo mama na alisha toa mimba?
 
Dawa ni kuoa bikra tu
 
Back
Top Bottom