Kipi bora kuoa mwanamke mwenye mtoto au Mwanamke alotoa mimba?

Kipi bora kuoa mwanamke mwenye mtoto au Mwanamke alotoa mimba?

Nauliza kipi bora hasa

Unakuta mwanamke mwenye mtoto watu wanamkimbia bila kujua faida zake

Ni Bora ambaye Ana mtoto maana kuna muda anakupa matumain kuwa hujaoa mgumba au akizaa watoto awafi

Unamkuta dada mdogo, hajawahi kuzaa, hajaolewa, lakini anatumia uzazi wa mpango. Hapo hapo kashatoa mimba 27 au zaidi! Dada, baadae ukiolewa unaanza kusumbua watumishi wa Mungu wakuombee upate watoto hata hataji Dhambi!

Mbona tunamjaribu Muumba?

Hata ukishika mimba, itakaa
Je mke anamtoto halafu wewe ukashindwa kumpa mimba imekaaje hapo? Unazani shida ipo kwa wanawake tu? Mbona wanaume wengi wanalea tu watoto wa wengine bila kujua, hiyo kazi ya Mungu, ajue Baba wa mtoto ni mama tu!
 
Bora mwenye mtoto 100%

Why? Kwasababu anakizazi kizuri utaanzisha familia bila wasiwasi na mtoto uliemkuta ataenda kwababa yake ataishi uko
Halafu mama yake ana roho nzuri sio katili sio muuwaji ,aliyetoa mimba ukimzingua anakudedisha
 
Nauliza kipi bora hasa

Unakuta mwanamke mwenye mtoto watu wanamkimbia bila kujua faida zake

Ni Bora ambaye Ana mtoto maana kuna muda anakupa matumain kuwa hujaoa mgumba au akizaa watoto awafi

Unamkuta dada mdogo, hajawahi kuzaa, hajaolewa, lakini anatumia uzazi wa mpango. Hapo hapo kashatoa mimba 27 au zaidi! Dada, baadae ukiolewa unaanza kusumbua watumishi wa Mungu wakuombee upate watoto hata hataji Dhambi!

Mbona tunamjaribu Muumba?

Hata ukishika mimba, itakaa
Sio mwenye Mtoto
Bora mwenye watoto wawili kuliko hata aliyetoa moja
 
Back
Top Bottom