Kipi bora kuoa mwanamke mwenye mtoto au Mwanamke alotoa mimba?

Inategemea kabila na kabila. Kwenu huwezi kuoa aliyezaa.. Kutoa mimba ni siri , itakuwa speculative hiyo
 
Hakuna wa kuoa hapo, wote wahuni.

Oa mwanamke bikra. Huyo ndiye Mke bora.
 

Lazima walaumiwe kwa uhuni walioufanya. Huwezi kuzaa kabla hujaolewa huo ndio umalaya.

Utampaje mtu moyo wako asiyefuata tarayibu za ndoa kama wewe sio mwehu
 
Funika mdomo na pua kwa sehemu ya ndani ya kiwiko cha mkono unapopiga chafya.

Kwa maelezo zaidi Piga 199 au 08001100124 kuongea na muhudumu
 
Oa mwanamke mwema,mwanamke mwenye tabia yule ambaye anajutia alipo kosea, sababu hakuna mkamilifu ila Mola.

Bila kusahau na wewe ujiangalie je una tabia nzuri au kinyume chake, kama huna basi taraji ya kuwa hutapata ila wa mfano wako, hii kanuni haibadiliki.

Ngoja niendelee kuvita uradi. Ahsante.
 
Broo kuoa mwanamke mwenye mtoto ni sawa na kujitafutia matatizo kwa sababu

Usitegeme huyo mtoto uliyemkuta kwa uyo mwanamke akifanikiwa atakuja kukumbuka Mara nyingi wakishafika age kuanzia miaka 27 umeshamsomesha ana elimu yake ana ajira nzuli atamtafuta baba yake mzazi Ili amuonjeshe matunda ya elimu yake ,......

Alafu kibaya zaidi utakuta baba yake mzazi anamwambia nilikuwa nasikia baba yako wa kambo alikuwa anakutesa, anakunyima chakula, anakupiga hovyoo wakati yeee mwenyewe alikuwa hajui unakula nini unalala wapi,nani anakusomesha mpka umefikia hatua hiyoooo

Ila haya maisha jamani MUNGU ANATUONA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Hapo ndio najikuta nipo katika wakati mgumu mpaka Sasa nioe yupi niache yupi maana ule usemi unaosema Ujana NI maji ya Moto Tena ya kusongea ugari naanza kuuona, sometime huwa najikuta Sina amani moyoni kwa Mambo ninayoyasikia kutoka kwa watu wazima
 
 
SINGO MAZA MAPENZI YA KWELI HAWANAGA,ATAKUWA NA WEW KUENDESHA MAISHA YAKE
 
Hapo ndio najikuta nipo katika wakati mgumu mpaka Sasa nioe yupi niache yupi maana ule usemi unaosema Ujana NI maji ya Moto Tena ya kusongea ugari naanza kuuona, sometime huwa najikuta Sina amani moyoni kwa Mambo ninayoyasikia kutoka kwa watu wazima
Oa bikra mkuu
 
Vipi akiwa ni singo mama na alisha toa mimba?
 
Dawa ni kuoa bikra tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…