Kipi bora kuoa mwanamke mwenye mtoto au Mwanamke alotoa mimba?

Je mke anamtoto halafu wewe ukashindwa kumpa mimba imekaaje hapo? Unazani shida ipo kwa wanawake tu? Mbona wanaume wengi wanalea tu watoto wa wengine bila kujua, hiyo kazi ya Mungu, ajue Baba wa mtoto ni mama tu!
 
Bora mwenye mtoto 100%

Why? Kwasababu anakizazi kizuri utaanzisha familia bila wasiwasi na mtoto uliemkuta ataenda kwababa yake ataishi uko
Halafu mama yake ana roho nzuri sio katili sio muuwaji ,aliyetoa mimba ukimzingua anakudedisha
 
Sio mwenye Mtoto
Bora mwenye watoto wawili kuliko hata aliyetoa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…