Kipi bora: Kuoga Usiku au Asubuhi?

Sababu wengi wanakua kwenye kipindi cha balehe, mie hua nawanunulia Deodorant ya Nivea tena ile for Men, nawanunulia Chupi na Bra na kuwataka wazitupe zile walizokuja nazo, na pedi kila mwezi.... Wengi walikua wanatumia vitambaa huko kwao na hawavianiki basi harufu ya uvundo,
Pia hakikisha chupi zinaanikwa nje kwenye kamba zipigwe na jua itasaidia pia kuona kama chupi zake zimeharibika apewe zingine.

Mdada wa Kazi akija kwangu wiki tu anabadilika na kua msafiiii, napenda nyumba na watu wake wanukie vizuri kwa kweli
 
Mim nisipooga nasikia nawashwa mwili kama vitu vinatembea [emoji23][emoji23][emoji23] mnawezaje kutokuoga jamani
Upo kama mie, nahisi kuwashwa kabisa hadi nioge,
Na hao wasiooga ndio hao wasiopiga miswaki, kuna Wanawake wana Vumilia mengi jamani ndio maana visirani haviishi [emoji1787]
 
Maji ya moto asubuhi ,nimenyoosha nguo na perfume yangu ya kupima.Najisikia freesh kama cucumber.'Simu moja tu tukutane benki'
Mbona perfume ya kupima, eeh usafi ni kwa wote hata watoto wadogo wanatakiwa wafanyiwe usafi, unakuta kitoto kinanuka shombo la maziwa, yaan Mtu akimlisha au kumnyonyoshea Mtoto hamfuti kwa maji basi maziwa yanaganda na katoto hakaogeshwi siku nzima eti kisingizo baridi basi looh sio kwa shombo ile ya maziwa na mikojo.
 
Mkuu utakuwa unatoa harufu kama mzoga
Tena Siku hizi ukiamka asubuh kuna upepo fulani hivi na baridi.......nakula passport ya nguvu na napulizia perfume yangu ya kupima toka mlimani city........Hapo nikiingia kwenye mwendokasi nanukia vizuri sana na watoto wa kike wote lazima wanigeukie mkaka anayenukia na perfume yake imejaa kwenye gar yote

Najua wavivu wenzangu wa kuoga hawawezi kununua perfume za kuanzia laki 5.............ila waende pale Mlimani city zipo za kupima kuanzia 50,000/=,ukipulizia hiyo na ukifika ofisini unakuwa Breathe of the Area
 
Samahani kdgo, ww ndio huyo hapo pichani?
 
Nyuzi za watoto wa dar hizo.sisi huku makambako tunatafuta hela.mbambo ya kuoga tutaanza kuyafuatilia tukisha kua na hela
 
Mwanaume unakuwaje msafi ivo izo element peleka Visiwani uko sisi uku Bara sio wachafu ila pia sio wasafi kwa kiasi icho unachotaka
 

Maachallah Upo vizuri sana dada, waje wapitie hii comment watapata kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…