Kipi bora: Kuoga Usiku au Asubuhi?

Kipi bora: Kuoga Usiku au Asubuhi?

Kwa week mara 3 ukiwa Mbeya,Njombe,Mafinga.........mara 14 per week ukiwa dsm.


NB: HILI NITOFAUTI KWA ALIYEOA ITABIDI HATA MARA 3 KWA SIKU,KWA SINGLE HATA AKIPITISHA WEEK BILA KUOGA POA TU ILA KWA WANAUME TU............ILA WANAWAKE KWAO NI KUOGA NI LAZIMA
 
Si tulikubaliana kwamba hili jiji lina joto kwa sie ambao hatuna pesa mkuu, wenzetu wanaokaa mbweni na viunga vyake Wanachezea kipupwe tu, hilo joto watakutana nalo wapi?
Kwahiyo nyumba huko, hazifungwi Air conditioner, na mafeni yapo, na kuoga kama kawaida Dar mzima hakuna baridi ya kumzuia mtu kuoga.

Mafinga kuna kipindi ukiwa mfifu, unaweza kaa wiki mzima, bila kuoga na usinuke. Lakini hivyo tulikua tunachemsha maji tunaoga.
 
Issue ya kuoga kwangu tangu nikiwa kwenye childhood ni tatizo sana kwangu yaani mpk nipigwe fimbo au nitishiwe kunyimwa mchele

Hata now ukubwani......siwezi kwenda kuoga ikiwa sijatoka jasho hata kidogo na kupigwa vumbi,hivyo ndo vipimo vyangu vya kuoga.....tofauti na hapo kufikisha Siku 2 sijaoga ni kawaida sana
 
Nakumbuka wakati nasoma Tukuyu-Mbeya nikiwa O-level........baridi la kule ni kama upo Ujerumani na wala sio mchezo wala utani.,.......Nina rekodi ya kufikisha mwezi 1 bila kuoga coz nilikuwa nipo kwenye principle yangu ya bila kutoa jasho siwezi kuoga

Ila baada ya mwezi kuisha ndo nikalazimisha niende nikafanye mazoezi makali sana ili nitoe jasho na nikauombe radhi huu mwili

Halafu issue ya kuoga kwangu haijawahi kuwa priority kama Taifa inabidi tuanze kufikiria mambo ya msingi na sio kuoga
 
Hata mimi ni mara 1 tu asubuhi usiku labda itokee dharura na joto liwe kali lisilo vumilika .
 
Wanaume wa Dar wanajadiliana kuoga
 
Back
Top Bottom