Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kuna watu bado wanayo hii tabia ya kuoga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kuna watu bado wanayo hii tabia ya kuoga?
Unapiga pass ndefu hata kuoga mkuuHivi kuna watu bado wanayo hii tabia ya kuoga?
Sawa kama unakaa kwa shemeji oga tu hata mara sita maana huna kazi.Sasa kama maji yapo kwanini nisioge hata mara sita kwa siku...
Mimi nina umri wa baba yakoSawa kama unakaa kwa shemeji oga tu hata mara sita maana huna kazi.
Kwahiyo nyumba huko, hazifungwi Air conditioner, na mafeni yapo, na kuoga kama kawaida Dar mzima hakuna baridi ya kumzuia mtu kuoga.Si tulikubaliana kwamba hili jiji lina joto kwa sie ambao hatuna pesa mkuu, wenzetu wanaokaa mbweni na viunga vyake Wanachezea kipupwe tu, hilo joto watakutana nalo wapi?
Exactly mm Ni hayo tu kuoga nachek na Hali ya hewaHata mimi ni mara 1 tu asubuhi usiku labda itokee dharura na joto liwe kali lisilo vumilika .