Kipi cha kuanza pindi unapopata ajira: Kuoa, nyumba, biashara au gari?

Sasa Mungu ndio kashakupa kazi utaanza nae kwa namna gani?
Unazani watu huwa wanapenda mtu ukifanikiwa Bora mtu akuchukie sio yule mtu atakaye kufanyia ubaya na Hila katika ulimwengu wa roho wachawi huwa wanamiliki majini hivyo unavyoanza kutoboa wanakurushia jini muda wowote ili ushuke chini ama upate pesa lakini usifanye maendeleo uishie kuonga na kulewa siku zote kukimbia mtego huu kazi yoyote unavyoanza hakikisha kiasi kikubwa Cha mshahara wako wa kwanza unatoa sadaka kanisani na kwa watu wasiojiweza
 
Labda huko kwenye vituo
Sadaka mahali popote unaweza kuitoa na ukabarikiwa ni vile ukiongozwa na Roho mtakatifu nachotaka kusema wanaofanikiwa kupitia utoaji huwa wanajua kabla katika mambo yote katika ulimwengu wa roho kwa msaada wa Mungu hivyo wanajua sadaka ipi inayomaliza shida zao wale watoaji sadaka wanaoongozwa na mwili Hawa huwa wengi wanapotea
 
BIASHARA VINGINE VITAPATIKANA EASILY
 
Sawa mtumishi
 
Hili liko juu yako,watu watakushauri kulingana na wao walivyofanikiwa ama kuona wengine,ila sio wewe
Fuata njia yako ambavyo nafsi yako inakutuma
Kuna alieanza na biashara akafanikiwa,mwingine nyumba na akawa na maisha mazuri na pia kuoa na akafikia mafanikio,
Fuata njia yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…