Labda huko kwenye vituoUmekalili sadaka huwa inatolewa na masikini tu utakuwa umechelewa sana sadaka inatolewa na matajiri kwa wingi sana huko makanisani na misikitini na vituo vya watoto yatima usizani mambo huwa yanaenda tu yenyewe Mung kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda huko kwenye vituoUmekalili sadaka huwa inatolewa na masikini tu utakuwa umechelewa sana sadaka inatolewa na matajiri kwa wingi sana huko makanisani na misikitini na vituo vya watoto yatima usizani mambo huwa yanaenda tu yenyewe Mung kwanza
Unazani watu huwa wanapenda mtu ukifanikiwa Bora mtu akuchukie sio yule mtu atakaye kufanyia ubaya na Hila katika ulimwengu wa roho wachawi huwa wanamiliki majini hivyo unavyoanza kutoboa wanakurushia jini muda wowote ili ushuke chini ama upate pesa lakini usifanye maendeleo uishie kuonga na kulewa siku zote kukimbia mtego huu kazi yoyote unavyoanza hakikisha kiasi kikubwa Cha mshahara wako wa kwanza unatoa sadaka kanisani na kwa watu wasiojiwezaSasa Mungu ndio kashakupa kazi utaanza nae kwa namna gani?
Sadaka mahali popote unaweza kuitoa na ukabarikiwa ni vile ukiongozwa na Roho mtakatifu nachotaka kusema wanaofanikiwa kupitia utoaji huwa wanajua kabla katika mambo yote katika ulimwengu wa roho kwa msaada wa Mungu hivyo wanajua sadaka ipi inayomaliza shida zao wale watoaji sadaka wanaoongozwa na mwili Hawa huwa wengi wanapoteaLabda huko kwenye vituo
Kabisa...Kuwa na nyumba ni mafanikio makubwa mkuu kwa majority. I can't wait nipaue pagale langu nitahamia hivyo hivyo utajiri nimeshachelewa.
Excellent✅✅✅Ndoa→biashara→Nyumba→Gari
BIASHARA VINGINE VITAPATIKANA EASILYKuoa na kupata familia ni muhimu na umri unakwenda. Gari muhimu linarahisisha usafiri na maisha pia linakupa hadhi fulani.
Nyumba inakupa makazi ila huwa haiishi. Biashara inakupa fedha ya ziada nje ya mshahara hivyo ni rahisi kupata nyumba na gari baada ya biashara.
Ni kipi cha kukipa kipaumbele ukiwa muajiriwa?
Sawa mtumishiSadaka mahali popote unaweza kuitoa na ukabarikiwa ni vile ukiongozwa na Roho mtakatifu nachotaka kusema wanaofanikiwa kupitia utoaji huwa wanajua kabla katika mambo yote katika ulimwengu wa roho kwa msaada wa Mungu hivyo wanajua sadaka ipi inayomaliza shida zao wale watoaji sadaka wanaoongozwa na mwili Hawa huwa wengi wanapotea
Kabisa mkuuExcellent✅✅✅
Wake wanao jielewa wapo sema tu janja janja za kuchukua magugu maji haziishi.Kabisa mkuu
Hapo mimi nilianza na namba 4, maisha hayana formula1.BIASHARA
2.GARI
3.NYUMBA
4.MTOTO
5.KUOA.
Makazi ya kudumu syo kaburi?Jenga kwanza jihakikishie makazi yako ya kudumu.
Kataa ndoaWake wanao jielewa wapo sema tu janja janja za kuchukua magugu maji haziishi.
NiceNafuata huu mtiririko...
1. 💼 - ⭐⭐⭐⭐⭐
2. 🏠 - ⭐⭐⭐⭐
3. 🚗 - ⭐⭐⭐
4. 🙎♀️ - ⭐
Safii...Ni wewe peke yako umeandika kitu nilokua nasubiri. ThanksOa kwanza...wanawake wengine ni baraka...utashangaa mwenyewe..
Anzeni wote kupanga....then mtajenga